Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mgombea ubunge ni bogus. Lijizi na litoa rushwa. Ushetu haikustahili kuwa na ligombea la ovyo kama hili jamaa. Upinzani ungekuwa na nguvu jimbo lilikuwa linaenda upinzani maana mgombea huyu hapendwi kabisa.Vijana ndio dhamana ya ccm Alphonce Muyinga ( Alphanga black) akiwapa nasaa vijana wenzake wa jimbo la Ushetu katika uchanguzi mdogo utakao fanyika tarehe 9/10/2021View attachment 1962187