Mm sina uhakika ila naona watu wengi wanasema hvy, so kama na ww ilishakutokea bc ndo humo humoUnamaanisha siku hizi ili upate mkopo lazima uwe kada wa CCM?
Kama ni hivyo, kwa post yako umenikumbusha mwaka 2021 nilipotaka kujua taratibu za mikopo ya halmashauri, mama mmoja akaniambia kwa urahisi niende UVCCM, sema nilipofika pale sikuwa na kadi na ikafanya hata nisisikilizwe.
AahaaaaaNipo nakuja nakimbia mbio kali sana waridi wangu ephen,mpaka magari yanasimama kunipisha yakifikiri nakwenda kuzima moto sehemu fulani.
fika ofisi za ccm mkoa eneo ulipo kadi zipo za kieletronikiHivi kadi ya chama nitaipataje jamani, nshaulizia mtaani kwangu naambiwa ni za shida.
Asisahau kujiunga pia na TK Movementfika ofisi za ccm mkoa eneo ulipo kadi zipo za kieletroniki
Mbaga kwa sasa nchi inachanja mbuga ukitizama mazao tuh yanavyo pendeza huko mashambani kwa ruzuku mama aliyoweka ni dhairi sasa watanzania kazi ni moja kutafuta mboga tuh kwani ugali upo wa kutosha msimu huu achilia mbali miradi mkubwa mkubwa inayo endelea kila itwayo leoTangulia mirembe waambie wakupe chumba, mm ntakuja kutoa maelezo yako.
ila wasomi wa Tz bhnaa kwa uchawa hawajambo kama TK MOVEMENT ukiulizaa kazii Yao Nini hawawezii kukupa jibu tofautii na uchawaa tuu wa kusifiaaAsisahau kujiunga pia na TK Movement
Washatoa na kepu na t-shirt
KADI awe nayo at least inaweza mfikisha mahali
Ilala natakiwa kwenda Lumumba au??fika ofisi za ccm mkoa eneo ulipo kadi zipo za kieletroniki
Isijekuwa tumeshaipita na Marekani ni mnatuficha tu.kwa maendeleo huyu mama ni kama anafanya mujiza wallah
TK Movement ni janja ya CCM kuwafikia wapiga kura kuputia akina mama na vijanaila wasomi wa Tz bhnaa kwa uchawa hawajambo kama TK MOVEMENT ukiulizaa kazii Yao Nini hawawezii kukupa jibu tofautii na uchawaa tuu wa kusifiaa
Kikubwa wanunue KADIWakimaliza vyuo wakakosa ajira watakula kadi!!?
Mwe! Lucas anafaidi kinyama. Mama anaupiga mwingiLucas acha porojo, njoo tulale!
So sad!Kikubwa wanunue KADI
Matumizi yake watajua wenyewe
ila TK movement wao wanajinasibu kuwa hawana Chama,ila najiuliza anayewafadhili ni nani?? Nauli za kwenda kwenye uzinduzi dodoma kutoka kila mkoa walilipiwaa na saivii wanalipiwa nauli kwenda mlima Kilimanjaro, kiukwelii nchi yangu TZ inafurahshaa saana Kuna watu wanatengeneza maisha Yao na majina Yao kupitia wengii wajingaTK Movement ni janja ya CCM kuwafikia wapiga kura kuputia akina mama na vijana
Ni kama jumuia mpya ukiacha UVCCM na UWT
Nipo shamba napambana kwa ajili ya ephen nimpe atakacho moyoni mwake ikiwepo kutambulika humu jukwaani kama Platinum member
Vijana wengi njaa Kaliila TK movement wao wanajinasibu kuwa hawana Chama,ila najiuliza anayewafadhili ni nani?? Nauli za kwenda kwenye uzinduzi dodoma kutoka kila mkoa walilipiwaa na saivii wanalipiwa nauli kwenda mlima Kilimanjaro, kiukwelii nchi yangu TZ inafurahshaa saana Kuna watu wanatengeneza maisha Yao na majina Yao kupitia wengii wajinga
Lucas Mwashambwa unaitwa huku na pisi lililo maliza form six katika shule iliyo kwenda shule.Lucas acha porojo, njoo tulale!
ila Mimi pia ni mwana TK movement nipo kwenye group lao japo sijawahii kuwaelewaa hasa lengo lao ni Nini?? Ngoja nisubirii maokoto kipindii Cha uchaguziiVijana wengi njaa Kali
T-shirt 16000 zipo mpaka za 12000
Lazima kura zitafutwe kwa udi na uvumba
Vijana wanaaidiwa Akira,mikopo ya halmashauri na fursa za upigaji kupitia miradi ya wafadhili
Ila wanachaotakiwa ni kuwashawishi vijana Baki wasio wa CCM kuwa TK Movement ni non party organisation
Ila ni uongo
Ni wanaccm wanajaribu kupitishia ajenda zao za Siri kwa vyama vingine kupitia vijana na akina mama
Wajinga ndio waliwao
Kaba hapo hapoila Mimi pia ni mwana TK movement nipo kwenye group lao japo sijawahii kuwaelewaa hasa lengo lao ni Nini?? Ngoja nisubirii maokoto kipindii Cha uchaguzii