Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Mm sina uhakika ila naona watu wengi wanasema hvy, so kama na ww ilishakutokea bc ndo humo humoUnamaanisha siku hizi ili upate mkopo lazima uwe kada wa CCM?
Kama ni hivyo, kwa post yako umenikumbusha mwaka 2021 nilipotaka kujua taratibu za mikopo ya halmashauri, mama mmoja akaniambia kwa urahisi niende UVCCM, sema nilipofika pale sikuwa na kadi na ikafanya hata nisisikilizwe.