Pre GE2025 Uchapa kazi wa Rais Samia wawakosha Vijana waliomaliza kidato cha Sita, Watafuta Kadi za CCM usiku na Mchana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hao wazazi wao wamepoteza bure fedha zao kuwapeleka shule.
Hiyo ni kwa ufupi wa akili yako.kwani hufahamu ya kuwa wanafunzi wao wamesoma bureee kabisa, kutokana na maamuzi ya huruma na upendo ya Mheshimiwa Rais kuamua kutoa Elimu bure ili kila mtanzania apate haki ya Elimu na kutimiza ndoto zake bila kujali hali ya kipato cha familia yake?
 
Kama unaamini mzazi hagharimii kumsomesha mtoto wake ni ushahidi kuwa huna akili. Uchawa umekufanya kuwa msukule kabisa.
 
Kazi nzuri sana kaka
 
mbona mihemko na ghadhabu gentleman 🀣

weka bidii tu, utatoboa bila makasiriko wala chuki yoyote πŸ’
Vijana wengi wa ccm mnaishia kuwa machoko kwa tabia ya kuomba omba na ndo maana waarabu wengi wapo ccm nyie endeleeni kula hela zao, mnatabia za kike kike.
 
Wewe ni mjinga na inaonekana hauna kazi yenye tija zaidi ni kusifia matapeli. Jinga kama wewe ni Bora ufe tu. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto
 
Vijana wengi wa ccm mnaishia kuwa machoko kwa tabia ya kuomba omba na ndo maana waarabu wengi wapo ccm nyie endeleeni kula hela zao, mnatabia za kike kike.
Naona umepaniki sana hasa baada ya kutambua ushawishi mkubwa iliyonayo CCM
 
Vijana wengi wa ccm mnaishia kuwa machoko kwa tabia ya kuomba omba na ndo maana waarabu wengi wapo ccm nyie endeleeni kula hela zao, mnatabia za kike kike.
kama yule jamaa wa kuomba omba kuchangiwa mara kwa mara vitu mbalimbali ambampo mara hii ameomba kuchangiwa pesa ya gari wanachama wamedinda kumchangia alivyotaka, right?πŸ’
 
kama yule jamaa wa kuomba omba kuchangiwa mara kwa mara vitu mbalimbali ambampo mara hii ameomba kuchangiwa pesa ya gari wanachama wamedinda kumchangia alivyotaka, right?πŸ’
Lissu anachangiwa na watz tena kwa uwazi sasa nyie vijana wa kiume hamna kazi wa shughuli yoyote lakini mna misambwanda ya kufa mtu na waarabu kwenye ofisi zenu hawakauki na bado tuaona vijana mnaonge mkishika viuno na pua mipasho kama yote na mnanukia marashi ya wajukuu wa akina Barghash pamoja Tiputip tangu lini Mwarabu akawa na uhusiano na wamatumbi kama hakuna faida wanayopata? Kuwa makini mdogo wangu we huna kazi wala biashara lakini unamsambwanda kulikoni?
 
kwani ndio huyo jamaa anae omba omba mara kwa mara kuchangiwa vitu mbalimbali gentleman?πŸ’

ni utaratibu wa chama chenu nini kuomba omba kuchangiwa maana naona kama ni wote tu wazee wa kuchangiwa changiwa πŸ’

si mna nguvu, akili na uwezo wa kufanya kazi ndugu zangu?

kuomba omba ni tabia na mazoea mabaya sana, ni aibu na fedheha sana kwa familia kwakweli πŸ’

naona tabia hiyo ya kuombaomba, mihememko na kuporomosha matusi ni ndugu wa baba moja, si ndio ndugu mtukanaji mahiri?🀣
 
Chama Cha mapinduzi, hakika kimudu milele na daima,

mama Samia mikumi tena, mama anaweza kuishi na familia yake. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Usichojua liluvas ni kuwa hela boom by October hakuna kwa sababu serekali Haina pesa

Wamefunga mwaka wao na madeni kibao tusitegemee nafuu huko tuendako ni kilio tupu

Hali siyo nzuri kwa wengi labda Wachache walio karibu na abdul
 
Hizo ni Ramli tu.serikali yetu chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ipo vizuri sana kiuchumi na inaendelea kufanya vyema sana.ndio maana inaendelea kuaminika katika taasisi na mashirika mbalimbali ya kimataifa.
 
Mh! wao nkupata mserereko wa baadae ya mkopo ya elimu ya juu kwaiyo wanaanda mazngra salama kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…