Pre GE2025 Uchapa kazi wa Rais Samia wawakosha Vijana waliomaliza kidato cha Sita, Watafuta Kadi za CCM usiku na Mchana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hao wazazi wao wamepoteza bure fedha zao kuwapeleka shule.
Hiyo ni kwa ufupi wa akili yako.kwani hufahamu ya kuwa wanafunzi wao wamesoma bureee kabisa, kutokana na maamuzi ya huruma na upendo ya Mheshimiwa Rais kuamua kutoa Elimu bure ili kila mtanzania apate haki ya Elimu na kutimiza ndoto zake bila kujali hali ya kipato cha familia yake?
 
Kama unaamini mzazi hagharimii kumsomesha mtoto wake ni ushahidi kuwa huna akili. Uchawa umekufanya kuwa msukule kabisa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Uongozi ni kugusa maisha ya watu, ni kuleta tabasamu, furaha, na matumaini kwenye maisha ya watu. Ni kufanikisha na kuwezesha kutimizwa kwa ndoto za watu, ni kukidhi matarajio na kukata kiu ya watu, na kuwapa watu vicheko vya furaha na kuacha alama katika mioyo yao.

Uchapakazi na uongozi wa Rais Samia umeonekana kuwakosha, kuwagusa, na kukonga mioyo ya vijana wengi sana waliomaliza kidato cha sita. Hii imepelekea wengi wao kutafuta kadi za CCM usiku na mchana ili waweze kuwa wanachama wa CCM kama sehemu ya kumuunga mkono Rais Samia, ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa.

Vijana ambao nimekutana nao wameongea kwa hisia kali sana kutoa shukurani zao kwa Rais Samia kwa hatua yake ya kufanya maamuzi magumu ya kutoa elimu bure hadi kidato cha sita. Wengi wao, kutokana na vipato vya wazazi wao, hawakuwa na matumaini kama wangeweza kufika hapo isingekuwa elimu bure.

Wanasema kitendo cha Rais Samia kufuta ada na michango mingine kiliwafanya kuelekeza mawazo na akili zao zote katika kusoma kwa bidii na kufanya vyema katika masomo yao, pasipo kuwa na hofu ya kufukuzwa na kurudishwa nyumbani kuchukua ada na michango mingine kama ilivyokuwa zamani.

Katika hili, nami nawaunga mkono vijana hawa katika kumshukuru sana Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kufuta ada, ambayo imekuwa ni neema na nuru katikati ya giza kwa familia nyingi sana. Leo, hata mtoto wa maskini ana uhakika wa kupata elimu na kutimiza ndoto zake.

Tofauti na sisi wakati wetu, tuliteketeza mali nyingi sana kuanzia mifugo hususani ng'ombe, mashamba, na kuingia madeni kwa ajili ya kulipia ada na michango mingine iliyokuwa mingi. Hali ya kiuchumi, hususani vijijini, ilikuwa mbaya sana kuweza kumudu gharama hizo ambazo sasa zimebebwa na Jemedari wetu Daktari Mama Samia.

Katika hili, nasema Rais Samia, Mama yangu na Rais wetu mpendwa, utakumbukwa na maelfu ya vijana kwa kuwawezesha kutimiza ndoto zao bila shida. Kikubwa, nakuomba sana Mheshimiwa Rais na serikali yako kuwa zinapokuwa zimetoka ajira, hususani za ualimu, basi jitahidini sana kwa jicho la huruma kuanza kuwapa kipaumbele wale vijana waliomaliza miaka ya nyuma hasa wale wa mwaka 2015, 2016, na hata wale wa 2017. Hii ni kwa kuwa huwa inawaumiza sana vijana waliomaliza mwaka 2015 na 2016 wanapokosa ajira, halafu aliyemaliza hivi karibuni anapata ajira na kwa masomo yale yale ambayo amesomea huyu wa 2015 na 2016.

Naamini serikali yako, Mheshimiwa Rais, italizingatia jambo hili. Fikiria hata wewe, Rais wetu ambaye ni mzazi mwenye huruma kama unavyofahamika na wengi, unaweza jisikiaje mtoto wako amemaliza ualimu 2015 au 2016 na hajapata ajira mpaka leo hii, licha ya kuwa na ufaulu mzuri na kukidhi vigezo vyote na ulimsomesha kwa shida, taabu, na mateso makubwa. Halafu anakuja anapata ajira wa juzi juzi tu na kwa masomo yaleyale na ufaulu ule ule.

Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.
Kazi nzuri sana kaka
 
Wewe ni mjinga na inaonekana hauna kazi yenye tija zaidi ni kusifia matapeli. Jinga kama wewe ni Bora ufe tu. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto
 
Vijana wengi wa ccm mnaishia kuwa machoko kwa tabia ya kuomba omba na ndo maana waarabu wengi wapo ccm nyie endeleeni kula hela zao, mnatabia za kike kike.
Naona umepaniki sana hasa baada ya kutambua ushawishi mkubwa iliyonayo CCM
 
Vijana wengi wa ccm mnaishia kuwa machoko kwa tabia ya kuomba omba na ndo maana waarabu wengi wapo ccm nyie endeleeni kula hela zao, mnatabia za kike kike.
kama yule jamaa wa kuomba omba kuchangiwa mara kwa mara vitu mbalimbali ambampo mara hii ameomba kuchangiwa pesa ya gari wanachama wamedinda kumchangia alivyotaka, right?🐒
 
Lissu anachangiwa na watz tena kwa uwazi sasa nyie vijana wa kiume hamna kazi wa shughuli yoyote lakini mna misambwanda ya kufa mtu na waarabu kwenye ofisi zenu hawakauki na bado tuaona vijana mnaonge mkishika viuno na pua mipasho kama yote na mnanukia marashi ya wajukuu wa akina Barghash pamoja Tiputip tangu lini Mwarabu akawa na uhusiano na wamatumbi kama hakuna faida wanayopata? Kuwa makini mdogo wangu we huna kazi wala biashara lakini unamsambwanda kulikoni?
 
kwani ndio huyo jamaa anae omba omba mara kwa mara kuchangiwa vitu mbalimbali gentleman?🐒

ni utaratibu wa chama chenu nini kuomba omba kuchangiwa maana naona kama ni wote tu wazee wa kuchangiwa changiwa 🐒

si mna nguvu, akili na uwezo wa kufanya kazi ndugu zangu?

kuomba omba ni tabia na mazoea mabaya sana, ni aibu na fedheha sana kwa familia kwakweli 🐒

naona tabia hiyo ya kuombaomba, mihememko na kuporomosha matusi ni ndugu wa baba moja, si ndio ndugu mtukanaji mahiri?🤣
 
Chama Cha mapinduzi, hakika kimudu milele na daima,

mama Samia mikumi tena, mama anaweza kuishi na familia yake. 😃😃😃😃
 
Usichojua liluvas ni kuwa hela boom by October hakuna kwa sababu serekali Haina pesa

Wamefunga mwaka wao na madeni kibao tusitegemee nafuu huko tuendako ni kilio tupu

Hali siyo nzuri kwa wengi labda Wachache walio karibu na abdul
 
Hizo ni Ramli tu.serikali yetu chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ipo vizuri sana kiuchumi na inaendelea kufanya vyema sana.ndio maana inaendelea kuaminika katika taasisi na mashirika mbalimbali ya kimataifa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Uongozi ni kugusa maisha ya watu, ni kuleta tabasamu, furaha, na matumaini kwenye maisha ya watu. Ni kufanikisha na kuwezesha kutimizwa kwa ndoto za watu, ni kukidhi matarajio na kukata kiu ya watu, na kuwapa watu vicheko vya furaha na kuacha alama katika mioyo yao.

Uchapakazi na uongozi wa Rais Samia umeonekana kuwakosha, kuwagusa, na kukonga mioyo ya vijana wengi sana waliomaliza kidato cha sita. Hii imepelekea wengi wao kutafuta kadi za CCM usiku na mchana ili waweze kuwa wanachama wa CCM kama sehemu ya kumuunga mkono Rais Samia, ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa.

Vijana ambao nimekutana nao wameongea kwa hisia kali sana kutoa shukurani zao kwa Rais Samia kwa hatua yake ya kufanya maamuzi magumu ya kutoa elimu bure hadi kidato cha sita. Wengi wao, kutokana na vipato vya wazazi wao, hawakuwa na matumaini kama wangeweza kufika hapo isingekuwa elimu bure.

Wanasema kitendo cha Rais Samia kufuta ada na michango mingine kiliwafanya kuelekeza mawazo na akili zao zote katika kusoma kwa bidii na kufanya vyema katika masomo yao, pasipo kuwa na hofu ya kufukuzwa na kurudishwa nyumbani kuchukua ada na michango mingine kama ilivyokuwa zamani.

Katika hili, nami nawaunga mkono vijana hawa katika kumshukuru sana Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kufuta ada, ambayo imekuwa ni neema na nuru katikati ya giza kwa familia nyingi sana. Leo, hata mtoto wa maskini ana uhakika wa kupata elimu na kutimiza ndoto zake.

Tofauti na sisi wakati wetu, tuliteketeza mali nyingi sana kuanzia mifugo hususani ng'ombe, mashamba, na kuingia madeni kwa ajili ya kulipia ada na michango mingine iliyokuwa mingi. Hali ya kiuchumi, hususani vijijini, ilikuwa mbaya sana kuweza kumudu gharama hizo ambazo sasa zimebebwa na Jemedari wetu Daktari Mama Samia.

Katika hili, nasema Rais Samia, Mama yangu na Rais wetu mpendwa, utakumbukwa na maelfu ya vijana kwa kuwawezesha kutimiza ndoto zao bila shida. Kikubwa, nakuomba sana Mheshimiwa Rais na serikali yako kuwa zinapokuwa zimetoka ajira, hususani za ualimu, basi jitahidini sana kwa jicho la huruma kuanza kuwapa kipaumbele wale vijana waliomaliza miaka ya nyuma hasa wale wa mwaka 2015, 2016, na hata wale wa 2017. Hii ni kwa kuwa huwa inawaumiza sana vijana waliomaliza mwaka 2015 na 2016 wanapokosa ajira, halafu aliyemaliza hivi karibuni anapata ajira na kwa masomo yale yale ambayo amesomea huyu wa 2015 na 2016.

Naamini serikali yako, Mheshimiwa Rais, italizingatia jambo hili. Fikiria hata wewe, Rais wetu ambaye ni mzazi mwenye huruma kama unavyofahamika na wengi, unaweza jisikiaje mtoto wako amemaliza ualimu 2015 au 2016 na hajapata ajira mpaka leo hii, licha ya kuwa na ufaulu mzuri na kukidhi vigezo vyote na ulimsomesha kwa shida, taabu, na mateso makubwa. Halafu anakuja anapata ajira wa juzi juzi tu na kwa masomo yaleyale na ufaulu ule ule.

Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.
Mh! wao nkupata mserereko wa baadae ya mkopo ya elimu ya juu kwaiyo wanaanda mazngra salama kwao
 
Back
Top Bottom