Pre GE2025 Uchapa kazi wa Rais Samia wawakosha Vijana waliomaliza kidato cha Sita, Watafuta Kadi za CCM usiku na Mchana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanatafuta kadi za CCM usiku na mchana huku wakibubujikwa na machozi ya furaha😀😀😀
 
Serikali ya Rais Samia inatoa mikopo ya Elimu ya juu kwa wanafunzi wote wenye sifa na waliokidhi vigezo.
Nakukumbusha tu mkuu syo wote wanaweza pata mkopo aslimia % kila mtu na bahat kwaiyo wanjanja wanaweza soma alama ya nyakat ili wao wapewe kpaumbele wakwanza amna mjinga
 
Kondomu ya mafisiem
 
Ngoja wamalize shule wakutane na reality
Watakuta ajira zipo tayari. Kwa sababu uchumi unakua kwa kasi na hivyo kufanya fursa za ajira kupatikana kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na ajira za moja kwa moja serikalini na pia Secta binafsi ambayo nayo inaendelea kukua na kustawi vizuri sana.
 
Ngoja wamalize shule wakutane na reality
Watakuta ajira zipo tayari. Kwa sababu uchumi unakua kwa kasi na hivyo kufanya fursa za ajira kupatikana kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na ajira za moja kwa moja serikalini na pia Secta binafsi ambayo nayo inaendelea kukua na kustawi vizuri sana.
 
Ndugu acha porojo hapa, hata mimi wakati nasoma niliaminishwa hivyo hivyo, baada ya kumaliza chuo niliujua ukweli.
Kwanza mnawaaminisha watu kuwa ajira ziko nje nje, wapumbav wakubwa nyie. Mnatesa watoto wa watu, watu wanakaa kitaa wanasota mpaka 10yrs na hajira hawapati na wamesoma? I have ndugu zangu wanasota japo kuwa kuna baadhi waliseshwa hadi masters

Humu ndani huongei na watoto wenzio
 
Siku hizi huweki namba naona ushapata kitengo.
 
Vijana wanachukua kadi kwa hiyari yao na wameona kwa macho yao kazi kubwa iliyofanywa na mheshimiwa Rais katika kulipeleka mbele Taifa .wameona namna ambavyo serikali imekua ikitoa ajira kila mwaka na kutengeneza fursa mbalimbali za ajira kupitia miradi ya maendeleo
 
Blah blah blah get a hike big mouth
 
Lucas, kazi unayo. Hii ndio namna ya kujiajiri na kutumikia ajira yako kwa 150%. Big up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…