Uchawa 13 Pro Max (Diva amuita Diamond Mungu wa Pili)

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
9,428
Reaction score
27,096
Uchawa huu aisee. Alianza Baba Levo akadai angekua mwanamke angemzalia Plutnumz mitoto mitatu.

Sasa imehamia kwa Diva, katika moja ya post zake leo amedai Diamond ni Mungu wake wa pili.

"Mungu" sio "mungu"

Kila la kheri kwake.

 
Anatafuta upenyo licha ya zamani kumuattack sana
 
Raila Odinga anaitwa BABA.

Mbowe anaitwa BABA.

Magufuli alikuwa anaitwa Mheshimiwa mungu😀

Hivi Ni hali ya Maisha imekuwa Ngumu au ndio watu wameamua KUABUDU watu Fulani.

Au Ni Radicalism?

It's kinda a insanely behavior of the modern day.

Njaa Ni kitu kingine aisee.

 
Hiyo mungu wa pili walau angemuandikia yule kijana aliemtoa kimasomaso..ingawa ilikua ya kimyakimya.
 
Hiyo mungu wa pili walau angemuandikia yule kijana aliemtoa kimasomaso..ingawa ilikua ya kimyakimya.
Aisee, kijana kamsitiri sana. Sasa sijui alitoa hizo 500m [emoji45][emoji45]
 
Na samia unamuita nani?
 
Bongo tunaongoza kwa watu wasio na akili yaani uchawa na kujikomba kila mahala, leo pia Harmonize kafanya ujinga wa kiwango cha ujinga wake kamsujudia binadamu mwenzake tena mtoto wa kiume kumsujudia mwanamke hii sasa imezidi
 
Reactions: Qwy
Tatizo LIKO WAPI kumuita MTU baba?au mama au Bibi...?tatizo linakuja pale unapomuita binadam mwenzako Mungu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…