Uchawa hadi msibani! MC awataka waombolezaji wampigie Rais Samia makofi baada ya salamu msibani kwa Mafuru

Uchawa hadi msibani! MC awataka waombolezaji wampigie Rais Samia makofi baada ya salamu msibani kwa Mafuru

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Nimeshangazwa na namna MC wa msiba aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrance Mafuru alivyoomba waombolezaji wampigie Rais Samia makofi baada ya kutoa salamu zake. Katika mazingira ya msiba, ambapo wengi huwa wamezama katika huzuni na unyenyekevu, ombi hilo lilionekana kutoendana na hali ya tukio.

Pia, Soma: Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

 
Ni mwendo wa mama, mama....
IMG-20241007-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom