I inchaji JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 2,427 Reaction score 4,944 Feb 13, 2025 #1 Dhana ya uchawa inazidi kushika kasi. Ila ajabu ipo tu miongoni mwa Watanganyika. Sikuwahi kusikia Mzanzibari chawa. Karibuni kwa mjadala bila mihemko.
Dhana ya uchawa inazidi kushika kasi. Ila ajabu ipo tu miongoni mwa Watanganyika. Sikuwahi kusikia Mzanzibari chawa. Karibuni kwa mjadala bila mihemko.
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Feb 13, 2025 #2 Huyu NSSF kazidi kuwa kungunguni
joseph_mbeya JF-Expert Member Joined Nov 20, 2023 Posts 1,123 Reaction score 2,935 Feb 13, 2025 #3 😂😂
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 Feb 13, 2025 #4 inchaji said: Dhana ya uchawa inazidi kushika kasi. Ila ajabu ipo tu miongoni mwa Watanganyika. Sikuwahi kusikia Mzanzibari chawa. Karibuni kwa mjadala bila mihemko. Click to expand... Jamii haitaki kuupiga marufuku huu uchawa
inchaji said: Dhana ya uchawa inazidi kushika kasi. Ila ajabu ipo tu miongoni mwa Watanganyika. Sikuwahi kusikia Mzanzibari chawa. Karibuni kwa mjadala bila mihemko. Click to expand... Jamii haitaki kuupiga marufuku huu uchawa