Aelknes
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 246
- 603
Hili jambo la uchawa binafsi nimeliona ni tatizo ambalo linazidi kutupeleka sehemu mbaya zaidi
Sasahivi makazini boss hata kama anakosea,huwezi kukuta anakosolewa watu wanamsifia hata kwenye jambo la kijinga wakijua kuna mahali watapata favour
Ama ukijiona unataka kufanya jambo unalojua utakutana na upinzani mkubwa unatumia machawa kusifia hata kama ni kitu kibaya
Wanafunzi wanatafuta kadi za vyama na kujihusisha na chama fulani akijua kitam'beba kwenye ajira
Viongozi wanatumia machawa kutetea jambo wanaloona litapata upinzani,au kueneza ajenda fulani
Viongozi wa dini wanasifia watawala wakijua kuna favour wataipata
ILI UPATE KITU UNATAKIWA UKALAMBE MIGUU YA MTU/TAASISI FULANI ILI UFANIKIWE
Ujinga unaenda kutumaliza