Uchawa ni ugonjwa wa akili? Wataalamu wa afya tusaidieni

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
458
Reaction score
843
1785377294527.png

Wakuu naomba msaada.
Inakuwaje binadamu mzima akakubali ima kwa kutaka, kujituma, au kulazimika kuwa chawa?
Inakuwaje kiongozi mzima akakosa busara, falsafa na. hekima hata akaja na sera ya uchawa?
Je, wanaofanya yote haya wana akili timamu au kuna magonjwa yawe ya akili au tabia yanawasumbua?
Je, kuna tofauti kati ya chawa na mfuga chawa?
Wakati mwingine, huwa sioni tofauti ya machawa na waseenge kwa vile waote wanadhalilisha utu wao na wa wenzao.
Naomba kuwasilisha.
 
View attachment 3639660

huenda mihemko, kutukana na kuporomosha matusi hovyo hovyo tu jukwaani ikawa ndio ugonjwa mbaya zaidi na unaohotaji attention kubwa zaidi ya kitabibu gentleman,

hii ni kweli au ndio?
na inaweza kua ni athari mojawapo mbaya sana ya kufuata mkumbo wa kususa vitu mbalimbali kama vile, uchaguzi right?🐒
 
Hatimae umefikiwaaaa 🤣🤣🤣🤣 thread inakuhusu 100%
 
Uchawa ulianza enzi za Magufuli na kuimarishwa sana awamu hii ya Samia.
Huu ugonjwa hautibiki. Ukikupata ndiyo basi tena.
Hata Polepole alikuwa chawa Magufuli
 
Sifa kubwa ya kwanza ya kuwa chawa, ni lazima ukose akili hata ile ya kawaida.

Nakubaliana na mleta mada, kuwa uchawa ni ugonjwa, kiuhalisia ni kuwa UCHAWA NI UGONJWA MAHTUTI WA AKILI NA DHAMIRA. Watu kama Mwashambwa, Tlaatlah, Dr wa Manesi, Kavulana, and the like, ni wa kuwaonea huruma, hawa siyo wazima hata kidogo, ni wagonjwa mahtuti wa akili na dhamira.
 
Naamini chawa wote ni wagonjwa wa akili.Angalia michango ya Tlaatlah,Mwanshambwa,na wenzao wote humu jukwaani.Wanayoandika humu ni aibu tupu kwa mtu mzima.Ukisoma nyuzi zao unaishia kwenye hitimisho moja tu kuwa hawa watu hawana akili.
 
View attachment 3639660
Wakuu naomba msaada.
Inakuwaje binadamu mzima akakubali ima kwa kutaka, kujituma, au kulazimika kuwa chawa?
Inakuwaje kiongozi mzima akakosa busara, falsafa na. hekima hata akaja na sera ya uchawa?
Je, wanaofanya yote haya wana akili timamu au kuna magonjwa yawe ya akili au tabia yanawasumbua?
Je, kuna tofauti kati ya chawa na mfuga chawa?
Wakati mwingine, huwa sioni tofauti ya machawa na waseenge kwa vile waote wanadhalilisha utu wao na wa wenzao.
Naomba kuwasilisha.
Naunga Mkono Hoja,ni ugonjwa wa akili!
 
Nyote nyie machawa , tatizo la CHADEMA hamjijui kama ni machawa wa Lissu.
 
Uchawa sio ugonjwa. Ni utumwa wa maslahi binafsi wa kupindukia. Haijalishi kama mhusika ana elimu nzuri au utajiri mwingi. Hata Elon Musk amewahi kuwa chawa wa Trump!
 
Nyote nyie machawa , tatizo la CHADEMA hamjijui kama ni machawa wa Lissu.
Kwa machawa wa CCM, kila mtu ni chawa japo si kweli bali matokeo ya ugonjwa wa akili unaowasumbua kudhani kila mtu ni wa hovyo kama wao. Senzi kabisa.
 
huenda mihemko, kutukana na kuporomosha matusi hovyo hovyo tu jukwaani ikawa ndio ugonjwa mbaya zaidi na unaohotaji attention kubwa zaidi ya kitabibu gentleman,

hii ni kweli au ndio?
na inaweza kua ni athari mojawapo mbaya sana ya kufuata mkumbo wa kususa vitu mbalimbali kama vile, uchaguzi right?🐒
Ukiona imekuingia ujue ima wewe ni chawa au unaelekea kwenye ushoga wa kisaikolojia kabla ya ule wa kimwili. Kkkkkk!
 
Back
Top Bottom