Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
huenda mihemko, kutukana na kuporomosha matusi hovyo hovyo tu jukwaani ikawa ndio ugonjwa mbaya zaidi na unaohotaji attention kubwa zaidi ya kitabibu gentleman,View attachment 3639660
Wakuu naomba msaada.
Inakuwaje binadamu mzima akakubali ima kwa kutaka, kujituma, au kulazimika kuwa chawa?
Inakuwaje kiongozi mzima akakosa busara, falsafa na. hekima hata akaja na sera ya uchawa?
Je, wanaofanya yote haya wana akili timamu au kuna magonjwa yawe ya akili au tabia yanawasumbua?
Je, kuna tofauti kati ya chawa na mfuga chawa?
Wakati mwingine, huwa sioni tofauti ya machawa na waseenge kwa vile waote wanadhalilisha utu wao na wa wenzao.
Naomba kuwasilisha.
Hatimae umefikiwaaaa 🤣🤣🤣🤣 thread inakuhusu 100%huenda mihemko, kutukana na kuporomosha matusi hovyo hovyo tu jukwaani ikawa ndio ugonjwa mbaya zaidi na unaohotaji attention kubwa zaidi ya kitabibu gentleman,
hii ni kweli au ndio?
na inaweza kua ni athari mojawapo mbaya sana ya kufuata mkumbo wa kususa vitu mbalimbali kama vile, uchaguzi right?🐒
Naunga Mkono Hoja,ni ugonjwa wa akili!View attachment 3639660
Wakuu naomba msaada.
Inakuwaje binadamu mzima akakubali ima kwa kutaka, kujituma, au kulazimika kuwa chawa?
Inakuwaje kiongozi mzima akakosa busara, falsafa na. hekima hata akaja na sera ya uchawa?
Je, wanaofanya yote haya wana akili timamu au kuna magonjwa yawe ya akili au tabia yanawasumbua?
Je, kuna tofauti kati ya chawa na mfuga chawa?
Wakati mwingine, huwa sioni tofauti ya machawa na waseenge kwa vile waote wanadhalilisha utu wao na wa wenzao.
Naomba kuwasilisha.
kwamba wenye kuonyesha athari za kisaikolojia za wazi kabisa zinazotokana na kufuata mkumbo wa kindezi wa kususa uchaguzi wamepata mshauri wa kisaikolojia, right?🐒Hatimae umefikiwaaaa 🤣🤣🤣🤣 thread inakuhusu 100%
Uchawa sio ugonjwa. Ni utumwa wa maslahi binafsi wa kupindukia. Haijalishi kama mhusika ana elimu nzuri au utajiri mwingi. Hata Elon Musk amewahi kuwa chawa wa Trump!View attachment 3639660
Wakuu naomba msaada.
Inakuwaje binadamu mzima akakubali ima kwa kutaka, kujituma, au kulazimika kuwa chawa?
Inakuwaje kiongozi mzima akakosa busara, falsafa na. hekima hata akaja na sera ya uchawa?
Je, wanaofanya yote haya wana akili timamu au kuna magonjwa yawe ya akili au tabia yanawasumbua?
Je, kuna tofauti kati ya chawa na mfuga chawa?
Wakati mwingine, huwa sioni tofauti ya machawa na waseenge kwa vile waote wanadhalilisha utu wao na wa wenzao.
Naomba kuwasilisha.
Kwa machawa wa CCM, kila mtu ni chawa japo si kweli bali matokeo ya ugonjwa wa akili unaowasumbua kudhani kila mtu ni wa hovyo kama wao. Senzi kabisa.Nyote nyie machawa , tatizo la CHADEMA hamjijui kama ni machawa wa Lissu.
Ukiona imekuingia ujue ima wewe ni chawa au unaelekea kwenye ushoga wa kisaikolojia kabla ya ule wa kimwili. Kkkkkk!huenda mihemko, kutukana na kuporomosha matusi hovyo hovyo tu jukwaani ikawa ndio ugonjwa mbaya zaidi na unaohotaji attention kubwa zaidi ya kitabibu gentleman,