Uchawa umekuwa janga la kitaifa Tanzania

Uchawa umekuwa janga la kitaifa Tanzania

Amaghana

Member
Joined
Oct 20, 2024
Posts
54
Reaction score
63
Habarii ndugu zangu Watanzania??,
Nilikuaga nachukulia suala la UCHAWA ni la watu wachache wasiojitambuaa Leo nimengudua ndugu yangu Ninaemheshimu Sana na ana Masters kabisa na yeye ni Chawa expert,,,,,,,

UBINASFI,UBINAFSI,UBINAFSI Ee Mungu tusaidiee!!!!!
 
WhatsApp Image 2024-11-06 at 7.22.04 PM.jpeg
 
Halafu sababu hawakemei wanafurahia subiri Mungu azidi kukasirishwa na kuamua kuingilia kati.
Hiyo hasira yake na ghadhabu itakaposhuka Dunia itapata mrejesho ?!

Sifa anastahili kusifiwa Mwenyezi Mungu pekee .
Mungu huwa hashiriki Utukufu na mwanadamu awaye yote kwa namna yoyote wala kwa sababu yoyote ile.
 
Mtu chawa niyule mwenye akili tegemezi,na kiongozi anayetaka kua na chawa niyule mwenye uwezo mdogo wakuongoza.Kwahiyo huyo ndugu yako pamoja na shule aliyonayo bado akili zake nizakutegemea akili za watu wengine.
 
Sema Wazungu wanajua kusanuka,
Wamewaza hivi na sisi tujimalize kama Tz, duu hapana Harris tusamee kidogo 😁😂
 
Ukimuona bin-Adam anajiita chawa AU kutamani kuwa chawa basi tambua kuwa huyo kiumbe hajui anafanya nini huku duniani na alishajilaani mwenyewe kuwa yeye ni kiumbe kisicho na faida duniani na ahera!
 
kuwa na Elimu tu haitoshi, kama huna MAARIFA ni kazi bure. ndio maana hili taifa soon tu litaanzisha
UCHAWA JAZZ BAND.
 
Nyerere aliyasema yote haya miaka ya 70 uoga huzaa kujipendekeza na kujipendekeza huzaa mauti.
 
Habarii ndugu zangu Watanzania??,
Nilikuaga nachukulia suala la UCHAWA ni la watu wachache wasiojitambuaa Leo nimengudua ndugu yangu Ninaemheshimu Sana na ana Masters kabisa na yeye ni Chawa expert,,,,,,,

UBINASFI,UBINAFSI,UBINAFSI Ee Mungu tusaidiee!!!!!
Rais wa nchi kutoka nchin zanzibar ni shabik namba moja na mlezi wa hao mbwa wanaoitwa Chawa.
Wakati tunakuwa Chawa alikuwa mdudu wa kukaa naye mbali lakini huyu chura amegeuza chawa kuwa kitu cha kukumbatia
 
Hahahaaaaa! Hata Botswana ambapo uchaguzi ulikuwa huru na wa haki sikusikia pongezi!
ILA Msumbuji kwenye uchaguzi danganyifu na wa wizi pongezi zilienda fasta!
Hivi majizi ya ccm huwa hayaoni aibu yanapotoa pongezi wakati huo wananchi wa nchi husika wamejaa road kupinga matokeo
 
Habarii ndugu zangu Watanzania??,
Nilikuaga nachukulia suala la UCHAWA ni la watu wachache wasiojitambuaa Leo nimengudua ndugu yangu Ninaemheshimu Sana na ana Masters kabisa na yeye ni Chawa expert,,,,,,,

UBINASFI,UBINAFSI,UBINAFSI Ee Mungu tusaidiee!!!!!
Kwa taarifa yako hakuna watu wanaogopa maisha ya kuhastle kama hao wanaojiita wasomi, hasa wakishaajiriwa na serekali. Yaani ni majoga ya ajabu. Na uchawa asili yake ni kutaka maisha mazuri kwa kujikomba.
 
Habarii ndugu zangu Watanzania??,
Nilikuaga nachukulia suala la UCHAWA ni la watu wachache wasiojitambuaa Leo nimengudua ndugu yangu Ninaemheshimu Sana na ana Masters kabisa na yeye ni Chawa expert,,,,,,,

UBINASFI,UBINAFSI,UBINAFSI Ee Mungu tusaidiee!!!!!
Look us muwa shamba anasemaje
 
Back
Top Bottom