Uchawa umekuwa janga la kitaifa Tanzania

Uchawa umekuwa janga la kitaifa Tanzania

Habarii ndugu zangu Watanzania??,
Nilikuaga nachukulia suala la UCHAWA ni la watu wachache wasiojitambuaa Leo nimengudua ndugu yangu Ninaemheshimu Sana na ana Masters kabisa na yeye ni Chawa expert,,,,,,,

UBINASFI,UBINAFSI,UBINAFSI Ee Mungu tusaidiee!!!!!
Mpaka maprofesa wamekuwa chawa, ukiwa CCM akili zinafubazwa kabisa
 
Kwa taarifa yako hakuna watu wanaogopa maisha ya kuhastle kama hao wanaojiita wasomi, hasa wakishaajiriwa na serekali. Yaani ni majoga ya ajabu. Na uchawa asili yake ni kutaka maisha mazuri kwa kujikomba.
Kuna mstari mwembamba sana kati ya uchawa na ushoga, maana wote sifa kubwa ni kujitoa ufahamu.
 
Habarii ndugu zangu Watanzania??,
Nilikuaga nachukulia suala la UCHAWA ni la watu wachache wasiojitambuaa Leo nimengudua ndugu yangu Ninaemheshimu Sana na ana Masters kabisa na yeye ni Chawa expert,,,,,,,

UBINASFI,UBINAFSI,UBINAFSI Ee Mungu tusaidiee!!!!!
Bado ni wachache. Wingi wao ni kelele nyingi wanazo tumia kuonyesha kuwa wapo.
 
Back
Top Bottom