Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari!
Tukiendelea kusheherekea Mapinduzi ya Zanzibar na kuwaenzi mashujaa wote. Tutumie na kufahamu misemo ya zamani na maana zake.
Kuna huu msemo wa "Uchawi auvuki bahari" nimekuwa nikisikia huu msemo enzi na enzi.
Hebu tujaribu kufahamu maana yake wakuu?
Walioeleza huo msemo walikuwa na maana ipi zaidi pale penye neno "Uchawi" na neno "Bahari" pia na neno "Auvuki"
Ni maneno machache sana huku tukisheherekea Mapinduzi ya Zanzibar.
Ila msemo unasema "Uchawi auvuki bahari"
Tusherekee kwa kujuzana zaidi.
Nawasilisha.
Young Africans 4 - 3 Paka Fc.