Uchawi hauvuki Bahari?

Uchawi hauvuki Bahari?

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari!

Tukiendelea kusheherekea Mapinduzi ya Zanzibar na kuwaenzi mashujaa wote. Tutumie na kufahamu misemo ya zamani na maana zake.

Kuna huu msemo wa "Uchawi auvuki bahari" nimekuwa nikisikia huu msemo enzi na enzi.

Hebu tujaribu kufahamu maana yake wakuu?

Walioeleza huo msemo walikuwa na maana ipi zaidi pale penye neno "Uchawi" na neno "Bahari" pia na neno "Auvuki"

Ni maneno machache sana huku tukisheherekea Mapinduzi ya Zanzibar.

Ila msemo unasema "Uchawi auvuki bahari"

Tusherekee kwa kujuzana zaidi.

Nawasilisha.

Young Africans 4 - 3 Paka Fc.
 
ID yako tu inajieleza.... endeleeni kusherehekea na kikombe cha kahawa mkiwa na M15 wenzenu hao mnaowaita paka fc wako hatua ya makundi na wamepewa b1.5....! Nani atamfunga paka kengele??? Tukutane VPL
 
Mshana Jr karibu utusaidie maana ya huu msemo.
IMG-20210113-WA0020.jpg
 
Wahenga walikuwa na maana gani kwa kusema "Uchawi auvuki bahari" maana hiyo ndio hadhima ya uzi boss.
ID yako tu inajieleza.... endeleeni kusherehekea na kikombe cha kahawa mkiwa na M15 wenzenu hao mnaowaita paka fc wako hatua ya makundi na wamepewa b1.5....! Nani atamfunga paka kengele??? Tukutane VPL
 
Nilipata taarifa jana kua paka kapotelea jangwani, kwani ameonekana au bado?
 
Back
Top Bottom