Uchawi huu mpya Simba Sports Club wameutoa wapi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Yaani tarehe Nne ( 4 ) Mtu pia ' Kapigwa ' hizo hizo goli Nne ( 4 ) kama kasimama vile. Sasa hofu yangu tu ni pale Siku TFF nao wakiipanga mechi ya Simba Sports Club na wasiojua Bondeni Bwawani Njaa Kali SC tarehe 15 kuna uwezekano mkubwa Simba SC ikashinda hizo hizo goli Kumi na Tano ( 15 )

Yangu macho tu na siku zote dalili ya Mvua huwa ni Mawingu!

Nawasilisha.
 
Tano natabiri zitajirudia
R.I.P Patrick mutesa mafisango
 
Tano natabiri zitajirudia
R.I.P Patrick mutesa mafisango

Umemtaja hapo Hayati Baba Crespo ( Patrick Mutesa Tabu Petit Mafisango ) machozi yamenitoka Mkuu. Sitosahau maneno yake wakati wakiwa angani Simba SC ikitoka Kucheza na Kumfunga Setif Kwao ( Algeria ) Marehemu ambaye alikuwa akimpenda na kumuhusudu sana Mdogo wangu Jonas Gerald Mkude aliwaambia Viongozi kuwa wafanye kila wawezalo na wafanye makosa yote ila wasisahau Kumtunza, Kumjali na Kumpenda ' Dogo ' Jonas Mkude kwani alisema ndiye atakayekuja kuwa Roho ya Simba SC hasa sehemu ya Injini / Kiungo na hatimaye ' maono ' yake yametimia na leo hii Kocha yoyote yule wa Simba SC atapanga Kikosi chake chote lakini Namba Sita lazima tu ataiacha kwa mwenye nayo na inayomstahili Jonas Gerald Mkude.

Rest In Peace Mafisango.
 
Gentamycine umeongea ukweli tena mchungu kwa wale ndugu zetu walioharibiwa akili na mtu anaejiita AKILI MALI safari hii wataomba poo kwani moto wa simba ni zaidi ya Gas
 
Mpira wa Tz ni pesa za mifukoni mwaka watu cos mpira wetu haulipi,so huwezi jisifia leo mpo vizuri wakati mmekaa miaka 5 mnalialia njaa msimbazi
 
Hiyo miaka 5 unayoitaja ulisikia Simba wakitembeza bakuli kwa kusaidiwa na Azam TV kuendesha michango:?
Uliona Simba wakimpigia magoti mfadhili yeyote?Kama mlivyofanya na mnavyoendelea kupiga magoti?
Watu wazima wanashindana kupiga magoti halafu unakuwa na ujasiri wa kusimama mbele ya watu na kutoa hoja.
Kweli nimeamini nyani hana kioo.
 
ukishamaliza kuweweseka katika usingizi na ukiamka kaoge maji ya baridi akili yako ikae sawa
 
Umejiuliza miaka yoooote hata 3 bora hawapo kwanini!? Umasikini jeuri ndo uliwaponza
 
Afadhali umaskini kuliko utumwa. Watu wazima kumpigia magoti mtu mmoja ni udhalili wa hali ya juu.
 
Afadhali umaskini kuliko utumwa. Watu wazima kumpigia magoti mtu mmoja ni udhalili wa hali ya juu.
Umehamisha magori? Yanga inachangiwa na wanachama wake sasa tatizo lipo wapi?.
 
Umehamisha magori? Yanga inachangiwa na wanachama wake sasa tatizo lipo wapi?.

Wanachama wangechangia akina Yondani na Kakolanya wangekuwa wanawasumbua kuwaomba Wachezaji wa Simba SC hela ya Kununua Vitumbua na Chapati bila kusahau Maharage ya Kupima kila Siku?
 
sio lazima uchangie
sio lazima uniquote ungepita tu..alaf simba ni mtani wangu uwezi nizuia kuchangia chochote pale nionapo anamlenga yanga katika maelezo yao...we jamaa wa wapi yani unataka kunipangia mada za kuchangia jf mbona mleta mada katulia tu we unadhani hajaona?
 
Umehamisha magori? Yanga inachangiwa na wanachama wake sasa tatizo lipo wapi?.
Tafsiri ya umaskini jeuri kwa upeo wako ni nini?Kutomtegemea mtu au kumpigia mtu magoti?
Umewaita Simba maskini jeuri ndio maana ukajibiwa afadhali umaskini kuliko utumwa wa kumpigia mtu magoti.
Anayehamisha magoli nani?
 

Hata Mimi napenda mno Utani wetu wa Simba na Yanga na huu ' Uzi ' nimeuanzisha ' Makusudically ' kabisa ili wana Simba na Yanga ' tucharurane ' hapa Siku iende, tucheke na tusahau kwa muda matatizo pamoja na ' Stress ' au ' Frustrations ' zetu. Kama unajijua kabisa kuwa Wewe si ' Mwanamichezo ' na ama hupendi au huuwezi Utani tafadhali Kaa mbali kabisa na huu ' Uzi ' na tuachie tu tuliokomaa na kutukuka kwa malani / matani.

Mtani wangu ' Msamehe ' huyo Mwana Simba SC mwenzangu na naomba kuwa huru Kuchangia na hasa kutupiga ' Madongo ' yako Sisi wana Msimbazi.
 
You Da Best Blow Kiss GIF - YouDaBest BlowKiss Mwah - Discover & Share GIFs
 
Tafsiri ya umaskini jeuri kwa upeo wako ni nini?Kutomtegemea mtu au kumpigia mtu magoti?
Umewaita Simba maskini jeuri ndio maana ukajibiwa afadhali umaskini kuliko utumwa wa kumpigia mtu magoti.
Anayehamisha magoli nani?
Maswali meengi lkn yote ya kijinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…