GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani tarehe Nne ( 4 ) Mtu pia ' Kapigwa ' hizo hizo goli Nne ( 4 ) kama kasimama vile. Sasa hofu yangu tu ni pale Siku TFF nao wakiipanga mechi ya Simba Sports Club na wasiojua Bondeni Bwawani Njaa Kali SC tarehe 15 kuna uwezekano mkubwa Simba SC ikashinda hizo hizo goli Kumi na Tano ( 15 )
Yangu macho tu na siku zote dalili ya Mvua huwa ni Mawingu!
Nawasilisha.
Yangu macho tu na siku zote dalili ya Mvua huwa ni Mawingu!
Nawasilisha.