Hakuna mtu aliyempigia magoti Mohamed Dewji.Ni yeye aliyekuwa akiomba kuwekeza Simba.umesahau mlivyokuwa mnalia Mooooo kama Ng'ombe eboo
Dalili kubwa ya uzazwa ni kutoweza kutetea hoja.Maswali meengi lkn yote ya kijinga tu
sio lazima uniquote ungepita tu..alaf simba ni mtani wangu uwezi nizuia kuchangia chochote pale nionapo anamlenga yanga katika maelezo yao...we jamaa wa wapi yani unataka kunipangia mada za kuchangia jf mbona mleta mada katulia tu we unadhani hajaona?
Unaongea ujinga na wewe unajiona unatetea hoja?. Mbuzi wa kike weweDalili kubwa ya uzazwa ni kutoweza kutetea hoja.
Tambwe mchezaji wa kimataifa Simba alikuwa analipwa laki nane kwa mwezi..sasa wengine ?? Sasa hivi anasukuma Landcruiser maajabu..Ajibu alikuwa kimbaumbau mikiani kaja Yanga kanenepa na hapandi bajajHiyo miaka 5 unayoitaja ulisikia Simba wakitembeza bakuli kwa kusaidiwa na Azam TV kuendesha michango:?
Uliona Simba wakimpigia magoti mfadhili yeyote?Kama mlivyofanya na mnavyoendelea kupiga magoti?
Watu wazima wanashindana kupiga magoti halafu unakuwa na ujasiri wa kusimama mbele ya watu na kutoa hoja.
Kweli nimeamini nyani hana kioo.
Ni rahisi Yanga kufungwa na Sumbawanga United kuliko kufungwa na Simba.Simba haiwezi kuifunga Yanga kama hakuna mgogoro
Ni rahisi Yanga kufungwa na Sumbawanga United kuliko kufungwa na Simba.
Mkuu upo vizuri kwenye historia.Simba Sports Club 5 - 0 Yanga African..! Okwi 2, Sunzu 1, Mafisango 1, Kaseja 1, Kocha Milovan.
Wacha kupiga kelele humu, hamuwezi kujiita wa kimataifa uku mnatembeza bakuli vile hata lipuli inawashinda. Nafikiri Yanga ndio timu pekee inayotembeza bakuli hadi SumbawangaUmejiuliza miaka yoooote hata 3 bora hawapo kwanini!? Umasikini jeuri ndo uliwaponza
Ninyi hamchangiwi bali ni ombaomba midomo mikavu km mmekula cement mnatia hurumaUmehamisha magori? Yanga inachangiwa na wanachama wake sasa tatizo lipo wapi?.
Ninyi hamchangiwi bali ni ombaomba midomo mikavu km mmekula cement mnatia huruma
Mkuu upo vizuri kwenye historia.
Yanga bingwa TPL mara 27
Simba mara 19
Malinzi alikuwa anacheza namba ngapi?Na usisahau kuwa katika mara hizo Malinzi yumo mkuu!
Malinzi alikuwa anacheza namba ngapi?
Akili za kichawi hizi ni shida aisee
Mpira hakuna #12Namba 12 ( Chuo Cha Mipango)
Kama yakoJinsia gan wewe?.
Tatizo una hasira sana ndo maana ndo huelewi na huwa nakupotezea.Malinzi alikuwa anacheza namba ngapi?
Akili za kichawi hizi ni shida aisee
ExactlyNi rahisi Yanga kufungwa na Sumbawanga United kuliko kufungwa na Simba.
Achana na huyo mvimba macho. Atakupotezea muda wako tu.Tatizo una hasira sana ndo maana ndo huelewi na huwa nakupotezea.
Halafu kwani kila aliyefanikisha ubingwa kwa klabu yoyote ile alikuwa akicheza uwanjani.?