Uchawi huu mpya Simba Sports Club wameutoa wapi?

Uchawi huu mpya Simba Sports Club wameutoa wapi?

sio lazima uniquote ungepita tu..alaf simba ni mtani wangu uwezi nizuia kuchangia chochote pale nionapo anamlenga yanga katika maelezo yao...we jamaa wa wapi yani unataka kunipangia mada za kuchangia jf mbona mleta mada katulia tu we unadhani hajaona?

sawa bwana naona unalialia
 
Hiyo miaka 5 unayoitaja ulisikia Simba wakitembeza bakuli kwa kusaidiwa na Azam TV kuendesha michango:?
Uliona Simba wakimpigia magoti mfadhili yeyote?Kama mlivyofanya na mnavyoendelea kupiga magoti?
Watu wazima wanashindana kupiga magoti halafu unakuwa na ujasiri wa kusimama mbele ya watu na kutoa hoja.
Kweli nimeamini nyani hana kioo.
Tambwe mchezaji wa kimataifa Simba alikuwa analipwa laki nane kwa mwezi..sasa wengine ?? Sasa hivi anasukuma Landcruiser maajabu..Ajibu alikuwa kimbaumbau mikiani kaja Yanga kanenepa na hapandi bajaj
 
Simba Sports Club 5 - 0 Yanga African..! Okwi 2, Sunzu 1, Mafisango 1, Kaseja 1, Kocha Milovan.
Ni rahisi Yanga kufungwa na Sumbawanga United kuliko kufungwa na Simba.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Simba Sports Club 5 - 0 Yanga African..! Okwi 2, Sunzu 1, Mafisango 1, Kaseja 1, Kocha Milovan.
Mkuu upo vizuri kwenye historia.
Yanga bingwa TPL mara 27
Simba mara 19
 
Umejiuliza miaka yoooote hata 3 bora hawapo kwanini!? Umasikini jeuri ndo uliwaponza
Wacha kupiga kelele humu, hamuwezi kujiita wa kimataifa uku mnatembeza bakuli vile hata lipuli inawashinda. Nafikiri Yanga ndio timu pekee inayotembeza bakuli hadi Sumbawanga
 
Malinzi alikuwa anacheza namba ngapi?
Akili za kichawi hizi ni shida aisee
Tatizo una hasira sana ndo maana ndo huelewi na huwa nakupotezea.

Halafu kwani kila aliyefanikisha ubingwa kwa klabu yoyote ile alikuwa akicheza uwanjani.?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Tatizo una hasira sana ndo maana ndo huelewi na huwa nakupotezea.

Halafu kwani kila aliyefanikisha ubingwa kwa klabu yoyote ile alikuwa akicheza uwanjani.?
Achana na huyo mvimba macho. Atakupotezea muda wako tu.
 
Halafu hawa SportPesa wana ubaya na Yanga, eti wanaipangia kundi moja na Simba ili isikimbilie kutolewa mapema
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom