Uchawi huu wa kisambaa ni noma



Hivi mshana mtu anaweza kumloga mtu asiyemfahamu vizuri,kama vile kumuona tu barabarani?
 
Point of correction huo ni uchawi wa kizigua na sio uchawi wa kisambaa..wasambaa hawanaga uchawi ingawa wapo vizuri sana kwenye tiba mbadala yaani tiba kwa mitishamba au mimea
 
Unajua kama unamwamini Mungu. kwa Mungu aliumba vitu vyote na akaweka maalifa mbalimbali. Kumbuka huyu huyu Mungu ndiye aliyeumba miti na misitu. Sasa huo uchawi utafika wapi ukilinganisha na Damu ya Yesu, katika Jina la Yesu. Eti hao hao wachawi na uchawi wao huwa wanakufa na kuoza kabisa halafu wanakutana na hukumu ya Milele.
 
nnje ya mada
 
nnje ya mada
Kwenye mchezo wa Mpira -Football-. mtu akipiga mpira ovyo au kwenye kupiga pernalt kipa akienda upande tofauti na mpira yaani akikosea huwa inasema "Marikiti" sijui ina maana hiyo kwenye user name yako?
 
Mwanamke aliyewekewa ushinga akizini tu na mtu mwingine tofauti na mumewe mwanaume huyo hufa ndani ya masaa sita, na uuume wale husimama dede hata baada ya kufa.


Looooooo! balaa gani hilo!!!!
 
Point of correction huo ni uchawi wa kizigua na sio uchawi wa kisambaa..wasambaa hawanaga uchawi ingawa wapo vizuri sana kwenye tiba mbadala yaani tiba kwa mitishamba au mimea
Mmh LIKUD hapana ungeniambia ni wa watu wa Tanga wote ningekukubalia kiasi lakini ukisema wasambaa hawarogi nitakubishia kabisa
Angalia hata majina yote ni lugha ya kisambaa japo yanaweza kufanana na kizigua
 
Uongo mwingine ni noma.

1. "Zongo" si uchawi "zongo" ni kijicho. Au jicho la hasadi, ambalo binaadam yeyote anaweza kuwa nalo na si lazima iwe uchawi. Hata kusifia kwa uzuri pia kunaweza kuwa ni zongo. Mzazi anaweza kumdhuru kwa zongo hata mwanawe kwa kumpenda sana tu.

Waislam ndiyo maana tunafundishwa kusema "Bismillahi, Ma sha Allah" kila tunapokiona au kukisifia kitu kizuri na tunakatazwa kusifia kitu kwa kushangalia au kustuka "Doooh" au "Du", tunatakiwa tusema japo "Ma sha Allah".

2) Banyanyi, hilo ni kabila moja la Wahindi wa India "Baniani".

"Baniani mbaya kiatu chake dawa" hakuna uchawi hapo, Ni kudanganyana tu.

3. "Ndele" = hayo ni majivu yanayotokana na maiti za watu kuchomwa na hutumiwa kwa mambo ya kichawi lakini si uchawi wenyewe kuwa unaitwa "ndele".

Unaitwa unga wa ndele.


Ukiwa muongo ukumbuke kuna watu wanayajuwa mengi zaidi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…