Uchawi kitu kibaya sana, wachawi wakishikilia maisha yako hutoboi ng'o

Uchawi kitu kibaya sana, wachawi wakishikilia maisha yako hutoboi ng'o

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Kazi unafanya lakini hutoboi

Kusoma umesoma lakini huajiriwi

Kuajiriwa umeajiriwa lakini hali yako ni kama jobless.

Biashara unafanya miaka nenda rudi lakini hustawi.

Wachawi watu wabaya sana.

1697732333528.jpg
 
Labda tumuombe Mshana Jr atupe somo, hakika hawa watu ni wabaya. Kuna jamaa alifaulu degree ya sheria nyakati hizo miaka ya 80, badala ya kuripoti kituo alichopangiwa, alijaza briefcase yake kahawa alizochuma shambani na kufanya shamba ndio kituo chake cha kazi. Wachawi, puuuuuuu!

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Aiseee mwishowe ikawaje?
 
Back
Top Bottom