Uchawi kwenye biashara hapa mjini,,,

soma mchezo jrb kuwa tofaut mf punguzo la bei,lugha,bidhaa pendwa eneo husika...HUDUMA YAKO NDIO MAFANIKIO YAKO...Kumbuka wewe n mgen so kuwa mpole taratib watakuzoea....hakikisha biashara ni kazi yako pendwa toka moyoni nikiamin utakuwa unaifanya kwa raha na kuijali(be serius)..UCHAWI KTK BIASHARA UPO ILA HAUDUM NA MAISHIO YAKE NI MABAYA...Jitahid kuangalia madhaif yao mf bidhaa wasiyo kuwa nayo wewe ndio uweke..Rizika na ukipatacho ndio mola kakupangia hivyo utazidi kubarikiwa...BIASHARA HAIPIMWI KWA KUANGALIA WENZAKO BALI KUJIANGALIA WEWE NA DUKA LAKO....MTAZAMO
 
Mwenzio yupo kwenye game miaka kibao...wewe unaanza Leo hii na unatarajia utajirike fastaa?

:Mtoto anajifunza kutambaa na baadae anasimama dedee na baadae anaanza kutembea taratibutaratibu'

Hata biashara ni hatua baada ya hatua.!!

sawa mkuu nimekupata
 
Mkuu nimefanya sana biashara apo dar kiukweli kabisa uwo ndio ukweli 75% ya wafanya biashara apo hutumia dawa kutoka kwa awo unaowaita wewe wagaga .....

Ila wenyewe wanawaita wawezeshaji kimsingi akili kichwani mwako uende ukachukue na wewe au laaah!

Ila hautofanya biashara eneo ilo bila ya ivo AMINI KWAMBA
 

dahh kumbe
 
Na katika bihashara anayekwambia kwamba apa, mpaka uende kwa mganga ujue ktk bihshara huyo ndio anaekukaanga ktk iyo bihashara
 
Tusidanganyane wakuu Kama baadhi ya watu wanavyopinga kuwa hakuna uchawi,hata Kama hujawahi shuhudia huo uchawi elewa kwamba duniani Kuna ROHO za pande mbili zenye nguvu, YA NURUNI & GIZANI,hivyo itategemea ni wapi wewe ulioyoichagua ambapo YA GIZANI ni shortcut ya wavivu wengi wa kufikiri ambayo njia hii inakimbiliwa na wengi sana lakini Ina madhara makubwa mno wakati hii ya NURUNI Ina nguvu kubwa kuzidi ya GIZANI lakini ili uipate lazima imani yako isiwe legelege ingawa yenyewe ni nyepesi.
 

mmmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…