Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Dah nimeshangaa sana kuona yupo live na watu wanamiminika kutaja na majina yaoHahah hawa matapeli tu...mchawi hatumii TikTok kutokea mbele yako, mchawi anatokea tu bila msaada wa Data ya simu yako π€£π€£
Af mtu anaingia kingiHahahah hawa matapeli
Kenya ndio wajinga wa mwisho kuna mchungaji wa uko nilimsikia ana mwambia muumini nitakupiga makofi mwingine akawa anatoka njee kamuambia hakuna kutoka unaenda wapi duhYahaya kutoka +254
Kenya ndio wajinga wa mwisho kuna mchungaji wa uko nilimsikia ana mwambia muumini nitakupiga makofi mwingine akawa anatoka njee kamuambia hakuna kutoka unaenda wapi
Kenya wanajifanya wajanja ila Kwakweli ni wajinga wa kiwango KikubwaKenya ndio wajinga wa mwisho kuna mchungaji wa uko nilimsikia ana mwambia muumini nitakupiga makofi mwingine akawa anatoka njee kamuambia hakuna kutoka unaenda wapi duh