Uchawi live

Uchawi live

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Now nimeshangaa kuona wachawi wapo live kabisa hakuna wanachokiogopa tena yaani hakuna kabisa af wajinga wachache wanaingia king mm japi najua kusoma nyota ila kamwe siwezi ingia live na ili nikusomee nyota uwe umenishawishi sana ila wamachofanya hawa ni aibu sana
Screenshot_20241210-144544.png
 
Hahah hawa matapeli tu...mchawi hatumii TikTok kutokea mbele yako, mchawi anatokea tu bila msaada wa Data ya simu yako 🤣🤣
 
Hahah hawa matapeli tu...mchawi hatumii TikTok kutokea mbele yako, mchawi anatokea tu bila msaada wa Data ya simu yako 🤣🤣
Dah nimeshangaa sana kuona yupo live na watu wanamiminika kutaja na majina yao
 
Haaha
Kenya ndio wajinga wa mwisho kuna mchungaji wa uko nilimsikia ana mwambia muumini nitakupiga makofi mwingine akawa anatoka njee kamuambia hakuna kutoka unaenda wapi

Kenya ndio wajinga wa mwisho kuna mchungaji wa uko nilimsikia ana mwambia muumini nitakupiga makofi mwingine akawa anatoka njee kamuambia hakuna kutoka unaenda wapi duh
Kenya wanajifanya wajanja ila Kwakweli ni wajinga wa kiwango Kikubwa
Huoni wale waliokufa kwa kufunga wakati mchungaji wao hata hafungi
 
Back
Top Bottom