Uchawi na ushirikina ndio chanzo kikubwa cha maisha ya Mwafrika kutokupiga hatua

Uchawi na ushirikina ndio chanzo kikubwa cha maisha ya Mwafrika kutokupiga hatua

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,477
Reaction score
5,096
Habari zenu.
Nitajitahidi kuchambua kwa kina kuhusu hiki kitu ( unaebisha kuhusu uwepo wa uchawi na ushirikina umepigwa upofu, tafuta msaada haraka).

Kati ya mabara 6 duniani, Afrika ndio bara ambalo maisha ya watu wake ni duni kuliko mabara mengine.
Zipo sababu nyingi zinazochangia, moja kati ya hizo sababu ni uchawi na ushirikina, hii inachukua 75% ya sababu zote Na pia ndio mzizi wa sababu nyingine kuwepo.

Baadhi ya waafrika vipofu huwa wanakua wabishi wakisikia ushirikina ukitajwa kama sababu ya kukwamisha maendeleo. Ngoja leo niwape sababu na ushahidi wa namna ushirikina unavyokwamisha maendeleo Afrika.

1. Ushirikina ndio huchangia kwa kiasi kikubwa kuwaweka mdarakani viongozi wasiofaa.
Nikiwa kama shahidi nimewahi kugombea nyazifa kwenye chama cha siasa,
Viongozi wengi watakubaliana na mimi kuwa kinapofika kipindi cha uchaguzi iwe ni kwenye vyama au kwenye uongozi wa nchi, vilinge vingi huwa bize ( wengine huenda mpaka sehemu zisizofikika kibinadamu) ili tu wapate uongozi.

Sasa usitegemee maendeleo kutoka kwa kiongozi aliyepitia mchakato huu kuyapata madaraka kwa sababu anajua kabisa sio kura zenu zilizompa madaraka.
Wengine hupewa masharti ya kuharibu maisha ya watu ili uongozi wao uzidi kuvutia.

Inaendelea.
 
Hata mimi ninaunga mkono hoja, ulozi umeturudisha nyuma sana. Utasikia serikali haiamini uchawi lakini wengi miongoni mwa wanayoiendesha ni washirikina wakubwa.
 
2. Ushirikina na uchawi kama silaha ya kukwamisha juhudi za maendeleo.

Mnaokanusha uwepo wa uchawi na ushirikina, mnatumika bila kujua
Ukiacha uongozi mbovu sababu nyingine ya kukwamisha maendeleo ya waafrika ni uchawi na ushirikina, hakuna watu wanalogana kama waafrika.
Wakati nikiwa kwenye harakati za kuusaka uongozi kishirikina nilishangaa sana kuona midoli yenye majina matatu ya watu ikizikwa ili mambo yasiende na kweli nilishuhudia maanguko ya watu.

Huyo ndugu au mfanyakazi mwenzako unayemuona waziwazi akikufanyia fitina jua kabisa kuna harakati za kishirikina anakufanyia ili tu mambo yako yakwame.
 
Hata mimi ninaunga mkono hoja, ulozi umeturudisha nyuma sana. Utasikia serikali haiamini uchawi lakini wengi miongoni mwa wanayoiendesha ni washirikina wakubwa.
Kuna watu huwa wanabisha bila kujua
 
3. Ushirikina katika vyombo vya ulinzi na usalama
Watumishi wengi katika vyombo vya ulinzi Afrika ni waumini wakubwa wa ushirikina, ( niliwahi kuwa mmoja wao kabla ya kuacha kwa hiari).

Usitegemee jema lolote kutoka kwa watu wanaotumia hizo imani ni ngumu sana kukusaidia kupiga hatua.
 
Apa africa ata ma profesa hutumia uchawi ili wapate nafasi kwenye nyazifa za nchi au hutumia uchawi ili kushawishi tafiti zake kuonwa na viongoz wakubwa na kuteuliwa sio maprofesa tu hata madaktari bingwa kwenye upro nao hutumia uchawi kupata kaz kwenye vitengo au kufanye wenzao wachukiwe na wapendwe wao kwaiyo kiufupi apa afrika elimu na taaluma hua haiaminiki na wasomi au wataalamu wetu wengi ndiomaana hutumia uchawi
 
3. Ushirikina katika vyombo vya ulinzi na usalama
Watumishi wengi katika vyombo vya ulinzi Afrika ni waumini wakubwa wa ushirikina, ( niliwahi kuwa mmoja wao kabla ya kuacha kwa hiari).

Usitegemee jema lolote kutoka kwa watu wanaotumia hizo imani ni ngumu sana kukusaidia kupiga hatua.
Declassified CIA documents and historical research indicate that the agency has, at various times, investigated, monitored, or researched paranormal phenomena, occult practices, and "witchcraft" (often loosely defined) as part of its intelligence-gathering efforts, particularly during the Cold War.
"Witchcraft" as an Operational Tool: Some CIA studies explored the use of magical or shamanistic practices by insurgent groups, such as examining how magical practices affected combatants in the Congo in the 1960s. A specific research paper, "Witchcraft as an Operational Tool," was even produced within the Agency's training program, suggesting that these practices were treated as subjects for training and study rather than just idle curiosity.
Paranormal Research (Stargate Project): From 1972 to 1995, the CIA (and later the DIA) funded the Stargate Project, which studied "remote viewing"—the alleged ability to psychically view distant or concealed locations. While this is often termed "psychic spying" rather than witchcraft, contemporaries in the military sometimes referred to it scornfully as "voodoo warfare" or "black magic".
Psychic Research Studies: The CIA investigated reports of poltergeist activity and psychokinetic phenomena, looking for evidence of energy transfer, with some documents investigating cases in South America and the U.S..
Motivations for Study: A key driver for this research was the suspicion that the Soviet Union was far ahead in parapsychology research, leading to fears of a "voodoo gap" or "psychic gap" in military capabilities.
MKULTRA/MKOFTEN: Research into the paranormal extended to experiments involving altered states of consciousness, with some projects delving into the realms of psychic research.
Conclusion of Studies: By 1995, a commissioned study of the "Stargate" project concluded that while some remote viewing results defied randomness, the phenomenon was too inconsistent and unreliable to be useful for intelligence purposes.
 
Back
Top Bottom