Uchawi ni nini? (Roho, Nafsi, Mwili)

Sasa hivi wakomae watoto wangu mimi nimeshazeeka🤣🤣
Kilichobaki ni Mwili kurudi mavumbini, roho kumrudia Mungu aliyeitwaa na Nafsi yako itakwenda kupokea hukumu.

Usiniambie thibitisha.

Kubali tu kama ulivyokubali kununu simu ukijua nitaweza kuwasiliana na watu walio mbali kupitia simu. bila kujua hiyo sauti itafikaje huko mbali.
 
Hahaha hakuna cha Mungu wala hukumu, hizo ni imani tu nakujifariji kama mwanadamu mwenye tamaa ya kuishi, hakuna uthibitisho wowote zaidi ya imani, ambapo zipo imani tofauti zaidi ya 1000 ,kila mmoja Ana amini Mungu wake ndio yupo sahihi.
 
usiwaongelee wengine jiongelee wewe, unaona au ni kipofu uliyejikatia tamaa
 
usiwaongelee wengine jiongelee wewe, unaona au ni kipofu uliyejikatia tamaa
Nijiongelee kuhusu nini ? Hoja yako ya uchawi haina uthibitisho wowote zaidi ya maneno tu yakuambiwa na kusoma vitabu, sifikiri kama maisha yangu binafsi yanahusiana na mada yako🤔
 
Nijiongelee kuhusu nini ? Hoja yako ya uchawi haina uthibitisho wowote zaidi ya maneno tu yakuambiwa na kusoma vitabu, sifikiri kama maisha yangu binafsi yanahusiana na mada yako🤔
Huyo jamaa kwenye avatar yako toa, maana hujui kama Jack Sparrow ni mchawi na yeye, Sijui kakuvutia nn kumuweka na hujui uchawi ni nn
 
Huyo jamaa kwenye avatar yako toa, maana hujui kama Jack Sparrow ni mchawi na yeye, Sijui kakuvutia nn kumuweka na hujui uchawi ni nn
Mkuu una jambo lako jema na zuri sana.

Acha wafu wazike wafu wao. Tuendelee na mada usitolewe kwenye mstari.

Ikikupendeza Surya nitag ukipost hiki chakula cha roho. Wachache wayakuelewa
 
Huyo jamaa kwenye avatar yako toa, maana hujui kama Jack Sparrow ni mchawi na yeye, Sijui kakuvutia nn kumuweka na hujui uchawi ni nn
Inawezekana najua ila katika uelewa tofauti na huo wako wa kiimani zaidi😆
 
Huyo Mungu kabla ya kuumba ulimwengu na binadamu alikuwa wapi?

Huko alipokuwa kulitoka wapi na kuliumbwa na nani?
Tayari kuna viumbe wengine wengi walikuwepo,
Hao viumbe walikuwepo tu, wenyewe?

Kama hao viumbe walikuwepo tu wenyewe na unakubali hilo, Basi hakuna Mungu.
Huyo Mungu aliumbaje malaika ambao walikataa kumsujudia?

Kama hao malaika hawakuumbwa, Basi pia hakuna Mungu.

Ila kama waliumbwa, Huyo Mungu aliyewaumba, Alishindwaje kuumba malaika(roho) ambazo zinge msujudia?
Huyo Mungu kabla ya kuumba chochote kile, Yeye alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi na kuliumbwa na nani?

Au kulifanyikaje?
If magic and witchcraft really existed, people would have weaponized and utilized them long time ago.

We would have magic missiles, Enchanted bullets and invisible Rockets.
 
Uchawi ni matendo ya mwili Kama ilivyo ulevi,,ulafi,,wivu husda na choyo.Kwa fikra zangu uchawi ni namna iliokuwa positive kwa maisha ya binadamu lakini ikageuzwa ili imdhuru.Kama mtume Paul kauweka uchawi kwenye matendo ya mwili naamini uchawi una namna ulikuwa kitu flani positive
 
Mbona maswali yako sio ya Muhimu sana, Unataka umjue Mungu sana kirahisi hivo ? 😁

Twende taratibu, swali moja moja, hoja kwa hoja
 
Hao viumbe walikuwepo tu, wenyewe?

Kama hao viumbe walikuwepo tu wenyewe na unakubali hilo, Basi hakuna Mungu.
Walikuwepo nikimanisha kabla yetu binadamu Mungu alikuwa kaisha waumba.
 
Huyo Mungu aliumbaje malaika ambao walikataa kumsujudia?

Kama hao malaika hawakuumbwa, Basi pia hakuna Mungu.

Ila kama waliumbwa, Huyo Mungu aliyewaumba, Alishindwaje kuumba malaika(roho) ambazo zinge msujudia?
Sijasema walikataa kumsujudia yeye, nimesema walikataa kumsujudia au kuwa chini ya adamu.
 
Huyo Mungu kabla ya kuumba chochote kile, Yeye alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi na kuliumbwa na nani?
haya maswali hayata kusaidia kukwepa uchwawi.
God is everywhere.
 
Reactions: K11
Mbona maswali yako sio ya Muhimu sana, Unataka umjue Mungu sana kirahisi hivo ? 😁

Twende taratibu, swali moja moja, hoja kwa hoja
Huyo Mungu hayupo ndio maana unazunguka zunguka tu hapa.
 
Kumbe aliyelaaniwa ni Nyoka na sio shetan!? Halafu inasema Kwa tumbo utaenda Kwan hapo kabla ya tumbo nyoka alikuwa anatembelea nini wakuu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…