Nimependa mada ila hujaenda deep sana au mada inaendelea....
Umeongelea uumbaji from bible watu wanaelewa bibilia sio kitabu cha mwilini ni cha rohoni? Japo tunakisoma katika mwili lakini 80% ya bibilia ni rohoni kwahiyo imewachanganya watu wengi kwasababu wanaisoma mwilini na kuitafsiri mwilini.. hata story nyingi zilizo ongelewa bibiliani hazipo mwilini kama watafiti wanavyopambana kutafuta ukweli wa story zilizowekwa bibiliani na wakikosa wanaona bibilia ni ya uongo wanaenda mbali zaidi wanasema hata Mungu hayupo kwasababu wanamtafuta mwilini..
Plz endelea na mada