Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
- Thread starter
- #41
Hizo ni Lugha za kibiblia.Kumbe aliyelaaniwa ni Nyoka na sio shetan!? Halafu inasema Kwa tumbo utaenda Kwan hapo kabla ya tumbo nyoka alikuwa anatembelea nini wakuu!?
Yesu Anaitwa Simba wa Yuda. Kwani ni simba mnyama ?
au anafananishwa na MwanaKondoo. unatakiwa ujue tafsiri yake kwanini katumia Kondoo, kondoo ana sifa zipi.
Jina lenye viwakilishi na jina halisi kwa mtu mmoja