Uchawi niliowahi kufanya nikiwa sekondari

!
!
Hii tu limping a boss alidata. Tulichukua chura tukamshonea hiyo hivyo tukamweka juu ya Meza yake. Usiniulize kilitokea nini
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

!
!
Alitoka nduki yeye na sekretari akaenda kuleta waganga. Walivyoondoka tu tukaenda kuitoa kupitia dirishani tuliunganisha na uzi wa Manila. Dah waganga waongo mkuu khaaa siwataki mimi
 
!
!
Alitoka nduki yeye na sekretari akaenda kuleta waganga. Walivyoondoka tu tukaenda kuitoa kupitia dirishani tuliunganisha na uzi wa Manila. Dah waganga waongo mkuu khaaa siwataki mimi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi kanipokonya cha mdeko sijui katumia chura akiwa anapumua.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe
 
Huo mkwara kuna jamaa wa kimakonde ashamfanyia muhindi mmoja pale kisutu.Jamaa kapiga nae kazi miaka kibao mdosi baadaye kaja kumtosa jamaa,ilibidi jamaa achukua vyura wale wa kwenye mashimo wanaupele fulani alafu kamfunga chura ndani kaniki nyeusi.Siku alipoenda akamuweka mezani akamwambia iyo hirizi ikipasuka na wewe unakufa,mdosi akatetemeka sana na baadaye akaomba msamaa na kumlipa jamaa hela yake.True story!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…