Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kanipokonya cha mdeko sijui katumia chura akiwa anapumua.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan mi sina la kuchangia. Sina hamu na wewe bro.
Nilipanga nikutafute tufahamiane sasa nimeghairi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa
[emoji1] [emoji1]Mimi kanipokonya cha mdeko sijui katumia chura akiwa anapumua.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nguvu ya tunguli isikie tu masikioni ila isikudondokeee[emoji1] [emoji1]
We braza ulizembea mbona mtoto alikiwa anakufuata hadi lindo!
HahahahaaahahaaaNguvu ya tunguli isikie tu masikioni ila isikudondokeee
Mkuu kuzima kwa koleo sio mwisho wa uhunzi.Hahahahaaahahaaa
Kwa hiyo jirani unataka kusema ulikuwa unajikuta mdomo mzito tuu!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]!
!
Alitoka nduki yeye na sekretari akaenda kuleta waganga. Walivyoondoka tu tukaenda kuitoa kupitia dirishani tuliunganisha na uzi wa Manila. Dah waganga waongo mkuu khaaa siwataki mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weweMimi kanipokonya cha mdeko sijui katumia chura akiwa anapumua.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109][emoji1] [emoji1]
We braza ulizembea mbona mtoto alikiwa anakufuata hadi lindo!
Huyu mpare mhuni tu hana lolote...Hahaha naona mtani umeamua kuchangamsha genge.