Uchawi niliowahi kufanya nikiwa sekondari

Hawa form two kipindi naingia form one walikua wanajifanya wababe sana mmoja akawa ananilazimisha kudeki room yao mara tatu kwa siku wakati inatakiwa mara moja tu mixer kunitukana aisee, nilimlia timing tupo peke yetu nilimshushia kipigo akawa kama kapigwa na jeshi zima.. tokea siku hio ikawa full heshima kutoka kwa form two wote. Kua na mwili mkubwa nayo ilinisaidia form one yote maisha yakawa mepesi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeniacha hoi!! Siku ukikuta chura mwenye hirizi anapumua mlangoni kwako utafanyaje? Ni wa kweli sio ubunifu kama wako.
 
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]

Kaka mkubwa mshana aseee umenifanya nicheke sanaaa, kweli ulikuwa great thinker ata ningekuwa mimi ningedima asee

Kwahiyo uliclear vipi hewa sasa xcul, maana naamini xcul nzima walikuwa wanakusema na uchawi wako wa magumashi magumashi....
 
Niliitwa mwanga mpaka namaliza shule...
 
Hahahahaha lol! Urozi kumbe umeianza tangu ukiwa mdogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…