Uchawi niliowahi kufanya nikiwa sekondari

Uchawi niliowahi kufanya nikiwa sekondari

Hawa form two kipindi naingia form one walikua wanajifanya wababe sana mmoja akawa ananilazimisha kudeki room yao mara tatu kwa siku wakati inatakiwa mara moja tu mixer kunitukana aisee, nilimlia timing tupo peke yetu nilimshushia kipigo akawa kama kapigwa na jeshi zima.. tokea siku hio ikawa full heshima kutoka kwa form two wote. Kua na mwili mkubwa nayo ilinisaidia form one yote maisha yakawa mepesi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
.
mganga.jpeg
 
Umeniacha hoi!! Siku ukikuta chura mwenye hirizi anapumua mlangoni kwako utafanyaje? Ni wa kweli sio ubunifu kama wako.
 
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]

Kaka mkubwa mshana aseee umenifanya nicheke sanaaa, kweli ulikuwa great thinker ata ningekuwa mimi ningedima asee

Kwahiyo uliclear vipi hewa sasa xcul, maana naamini xcul nzima walikuwa wanakusema na uchawi wako wa magumashi magumashi....
 
Niliitwa mwanga mpaka namaliza shule...
 
Hahahahaha lol! Urozi kumbe umeianza tangu ukiwa mdogo 😂😂😂😂😂😂

Nani ambaye hajasoma sekondari boarding kipindi kile hajui utemi na ukatili wa form two? Form one waliitwa njuka unapewa shilingi kumi ukalete vitu vya shilingi 50 halafu urudishe na chenji unapewa kiatu kinanuka sana eti upige simu kwenyu umeme ukikatika unapewa beseni au ndoo ukaulete wao wanakuimbia wewe unakata viuno ole wako ukatae.

Form one ni full manyanyaso nikiyajua yote haya nikajiandaa vilivyo nikachukua vyura watatu wadogo nikawaweka kwenye kopo vizuri huku nimelitoboa wapate hewa
Kukaribia shule nikatafuta kichaka nikawatoa vyura wangu nilikuwa na kipande cha kaniki na kamba nyekundu sindano na uzi nikamshonea kila chura kwenye kipande kidogo cha kaniki mfumo wa hirizi na kufunga na kitambaa chekundu.

Baada ya pale moja nikaweka mfukoni mbili kwenye begi nikatinga shule Baada ya registration nikapelekwa bwenini kufika tu nikapokewa begi na wana wasachi wachukue kinachowafaa Kwanza walianza kunitaka nitoe hela nikazama nikatoka na hirizi inapumua maskini kumbe ndani ni chura anahema kwa kutopata hewa vizuri jamaa wakatimua mbio

Siku nzima ile habari ikawa kunihusu kumbe bwana jamaa walikuwa wanasubiri usiku waibe begi kunikomoa usiku wakaiba begi na kwenda nyuma ya bweni ile kulifungua tu wakakutana na hirizi nyingine mbili zinapumua walitimua mbio na kuacha begi kama lilivyo

Form one yangu ilikuwa raha mustarehe ila baadae nikaja kuwapa story yote ya uchawi niliowahi kufanya siku nakuja .
 
Back
Top Bottom