Uchawi niliowahi kufanya nikiwa sekondari

Uchawi niliowahi kufanya nikiwa sekondari

Huo mkwara kuna jamaa wa kimakonde ashamfanyia muhindi mmoja pale kisutu.Jamaa kapiga nae kazi miaka kibao mdosi baadaye kaja kumtosa jamaa,ilibidi jamaa achukua vyura wale wa kwenye mashimo wanaupele fulani alafu kamfunga chura ndani kaniki nyeusi.Siku alipoenda akamuweka mezani akamwambia iyo hirizi ikipasuka na wewe unakufa,mdosi akatetemeka sana na baadaye akaomba msamaa na kumlipa jamaa hela yake.True story!
Hahahaaa hahaha
 
Mimi nilipigana n form2 watatu ile siku ya kwanza tu na niliwapiga kisawasawa ,ile kitu ilifanya form3 na 4 wanishabikie na kunilinda na mashambulizi ya maform 2 kipindi chote. Kitu hii iliwafanya waniogope , tukaja pam9bana kwenye mechi za welcome form 1 na interclasses nilajapiga ball ya nguvu. Mpaka namaloza vidato mm ni top
 
wew umesahau kitu huyu mshana kamroga demiss wa jf ila siyo wa dunian mana ameshindwa kujua majina matatu ya bibie Tunaita penzi la jf hahahaha mshana nakutania tu grandpa!
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13]
 
wew umesahau kitu huyu mshana kamroga demiss wa jf ila siyo wa dunian mana ameshindwa kujua majina matatu ya bibie Tunaita penzi la jf hahahaha mshana nakutania tu grandpa!
Wewe huyo anakuloga hata kama anajua I'd yako tuu.
Mshana si mtu mzuri kuna wakati anajigeuza popobawa pia
 
Wewe huyo anakuloga hata kama anajua I'd yako tuu.
Mshana si mtu mzuri kuna wakati anajigeuza popobawa pia
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]noma Sana
Nakumbuka wakat nipo advance kuna dogo aliamka asubuhi kachanjwa chale na watu wasioonekana kuzunguka mkono ,niliogopa sana nikawaza leo kuchanjwa chale kesho tutaamka miguu ina matope kwa kulimishwa mashamba
 
Wanga wanafanya sana hizo kwenye jumuiya za wanafunzi
 
Nani ambaye hajasoma sekondari boarding kipindi kile hajui utemi na ukatili wa form two? Form one waliitwa njuka unapewa shilingi kumi ukalete vitu vya shilingi 50 halafu urudishe na chenji unapewa kiatu kinanuka sana eti upige simu kwenyu umeme ukikatika unapewa beseni au ndoo ukaulete wao wanakuimbia wewe unakata viuno ole wako ukatae.

Form one ni full manyanyaso nikiyajua yote haya nikajiandaa vilivyo nikachukua vyura watatu wadogo nikawaweka kwenye kopo vizuri huku nimelitoboa wapate hewa
Kukaribia shule nikatafuta kichaka nikawatoa vyura wangu nilikuwa na kipande cha kaniki na kamba nyekundu sindano na uzi nikamshonea kila chura kwenye kipande kidogo cha kaniki mfumo wa hirizi na kufunga na kitambaa chekundu.

Baada ya pale moja nikaweka mfukoni mbili kwenye begi nikatinga shule Baada ya registration nikapelekwa bwenini kufika tu nikapokewa begi na wana wasachi wachukue kinachowafaa Kwanza walianza kunitaka nitoe hela nikazama nikatoka na hirizi inapumua maskini kumbe ndani ni chura anahema kwa kutopata hewa vizuri jamaa wakatimua mbio

Siku nzima ile habari ikawa kunihusu kumbe bwana jamaa walikuwa wanasubiri usiku waibe begi kunikomoa usiku wakaiba begi na kwenda nyuma ya bweni ile kulifungua tu wakakutana na hirizi nyingine mbili zinapumua walitimua mbio na kuacha begi kama lilivyo

Form one yangu ilikuwa raha mustarehe ila baadae nikaja kuwapa story yote ya uchawi niliowahi kufanya siku nakuja .

Nakumbuka kuna siku Fulani saa saba usiku nimetoka mahali Giza tororo nilipita msituni mwenyewe nilishangaa kuona jitu kubwa pembeni yangu lenye mikono 6 na macho makubwa likiyumba yumba nilikimbia mwendo wa light speed nilifika home breki ya kwanza ni kitandani huku nikiwazia juu ya lile jitu asubui niliondoka kuwai lile eneo kujua kama lile jitu lilicha alama yeyeto hata unyayo??
Laa nilikuta shina refu la mti mkavu wenye watawi sita yaliokauka

Watambua visa kama hivi hofu ni mbaya mno
 
Kiza hutengeneza maumbo
 
.
loader4_source.gif
 
[emoji196] [emoji196]
Haaaaaaaaaaaahahhhahhah una kipaji kwakwel cha ulozi !lol
hahaha duuh
hahahahahahaha
hahahaaa mshana bana usiniambie vile wanavyosemaga hirizi inapumua hua wanaweka chura.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe MSHANA wewe ndiye aliyeandika kile kitabu cha yule mtoto Baraka dogo alikuwa noma sana
Ahahaaa dunia ina mambo lol!
hahahahaah uwiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom