Uchawi ulivyotamalaki milima ya Same Upareni

Hilo gari limeangukia paa lililokuwa na kenchi zilizooza hivyo sehemu ya injini ilijikita chini hivyo nyuma hakukua na uzito, hivyo kuta zisingeweza kubomoka. Hapo hakuna uchawi wowote ila kinachohitajika ni uwezo wa kufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…