Uchawi,Ulonzi na ndumba za Babu Tale,Salam na Fela umefanya muziki wa bongo kuwa ngumu sasa wananchi wamegoma kucheza Rhumba

Tale mbona alishasema mwenyewe kuwa unatumia ndumba pale xxl
 
Hadi umeandika kuhusu RHUMBA MEANS UMEISKIZA NA SIJAJUA UNAWAZUNGUMZIA WATU GANI MANA NGOMA IPO #2 TRENDING na soon itaanza kubamba kwenye top zote as ussually na ingekuwa kama unavyosema CHIBONGE YA KINA MARIOO ISINGESUMBUA,IOKOTE isingesumbua....unachotaka kutuaminisha umefeli kakojoe ukalale RHUMBA linachezeka vizuri tuuu kaka.
 
Na ukitaka KUAMINI WIKI HAITAISHA CHANEL ZOTE ZA WASAFI YAANI TV NA REDIO ZITAICHEZA hahahahahahaaaaaa huyoooooooooooooo kafeliiiiiiiiiiiiiii asilimia 80% kwa utafiti upi?..basi Kina Aslay wangekuwa hawajaz show zao
..bongo ngoma kali watu wanaiskiza we mwenyewe umeitafhta rhumba had umeiskiza ndo umekuja na ki UZI chako mchwara hapa.
 
Hahahahaa kaka NAOMBA NIISKREENSHOOT HII COMMENT.
 
Pale wcb harmonize huwa haimbi ujinga huo mbona anajaza kila anapokwenda na show kibao tu anazo ...huna jipya mkuu tafuta nyengine sababu ... Never give up imeka kileleni zaidi ya wiki kuna sex uliosikia ndani yake ??
 
Kwa hiyo mwisho wa siku hili kundi linatumia nguvu ya uchawi...? maana hakuna la maana waimbalo?
 
Pale wcb harmonize huwa haimbi ujinga huo mbona anajaza kila anapokwenda na show kibao tu anazo ...huna jipya mkuu tafuta nyengine sababu ... Never give up imeka kileleni zaidi ya wiki kuna sex uliosikia ndani yake ??
Teh Teh labda ana maanisha anatumia uchawi.
 
Niko bize na marioo-inatosha.. Ntakuja baadae kukoment maana naona unaongelea uteam tuu
 
Fact....watu now days wanapenda wasanii wanaoimba matusi sijui "inama nipachike rungu"
 
wenye akili kama mimi watakuelewa.... wale wajinga hawatokuelewa kamwe na usishangae wakikushambulia
 
Pale wcb harmonize huwa haimbi ujinga huo mbona anajaza kila anapokwenda na show kibao tu anazo ...huna jipya mkuu tafuta nyengine sababu ... Never give up imeka kileleni zaidi ya wiki kuna sex uliosikia ndani yake ??

Harmo ameonesha nguvu kubwa sana mwaka huu lakini karibia nyimbo zake zote ni monotomy and boring, mashairi yake ya kiingereza ni yale yale ya kina davido, wizkid na wanaija wengine REPITITION. Beat zao ni zile zile, hakuna creativity tenaaa. Diamond kajitahidi kwa kumshirikisha Fally na kiukweli ule wimbo ni Bomb ila Beat imekosa msisimko na ukitaka kulijua hilo sikiliza beatz za namna hiyo za man walter.

mimi sisikilizi mainstream Music kwa promo maana mimi mziki mzuri sio makelele na soft porns. Napenda nyimbo za Diamond lakini nyingi ni zile za mwanzo.Diamond ni mtunzi na muimbaji mzuri ila kwa sasa yupo commercial, anatoa club bangz za kukaa miez miwili. Yaani hata kiba labda kwenye MBIO, nyingine ni Kama copy ya formular za WCB ila tofauti yeye haimbi SOFT PORN.
Mimi sicomment kishabiki ila naangalia kitu kizuri, hebu sikiliza EXTRAVAGANZA na ulinganishe na hizo nyimbo za kiki au msikilize Ruby kwa melody na kila kitu halafu uje na hizo mainstream music. Fungua macho maana wengine PROMO ndo kazi zetu hivyo, hatuyumbishwi na vinyago tunavyojua kuvitengeneza.
 
wenye akili kama mimi watakuelewa.... wale wajinga hawatokuelewa kamwe na usishangae wakikushambulia

Muziki umeingia team mkuu. Wenye uwezo wamewekwa kando ila mashudu yanasikilizwa kwa beef za kutengenezwa, muziki umejaa PROMO na watu ndo hivyo wanaendeshwa tu na Kiki za insta kabla ya kutoa ngoma. Kinachofurahisha kwa sasa Drama zimeanza kuchokwa, wenye akili wanatafuta watu wa kuwasaidia kupush kazi zao professionally. Wengine bado wanahangaika na KIKI zilizochokwa na kinachofuatia ni kutoa ngoma mfululizo ili mradi wabaki kileleni. Zama mpya , old tricks ni lazma tu wapumulie mashine. TUSEME WENYE AKILI WATAELEWA
 
Hahahaha
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…