mnyaki dada
Senior Member
- Sep 6, 2014
- 105
- 61
Utaishia kuhongwa chips kavu na vocha ua jero tu
Wivu tu unawasumbua..wakimuona wema anavyopewa zawadi ya nisan murano wakati wao wanahongwa chips kavu wanachanganyikiwa kabisa
miss strong una mahaba hadi shetani anayaogopa! Binafsi sina husuda kwa Ali K wala Diamond lakini namkubali zaidi Diamond kutokana na anavyojituma as compared na Ali K! miss strong, tuache ushabiki pembeni... hivi nini cha maana alichofanya Ali K kwenye ile show hadi tushawishike kwamba alimkalisha Diamond? Pili, mie nimeshahudhuria show za Diamond lakini lazima nikiri jana hakufanya vizuri na wala haioneshi kwamba alikusudia kufanya vizuri yeye ni shost ake Davido! Pamoja na yote hayo, zungumza na nafsi yako hata usipotoa jibu hapa... hivi kweli unaamini kabisa ile show sub standard ya Diamond ilikuwa mbaya maradufu kulinganisha na show ya Kiba?
Acha siasa wewe Babu Tale mapovu yamemtoka eti watu wamekodiwa.Wale ndio mashabiki anazomewa Jay Z hasemi watu wamekodiwa ndio iwe Diamondi hebu tumia akili zako acha kutumia za kushikiwa wewe.Hii inadhihirisha Watz tulivyo na roho mbaya sana. Mtu au sijui kikundi au sijui taasisi wanakodi watu just wamzomee Diamond! Hawa watu waliofanya kitendo hichi hawana tofauti na kikundi cha al-shabab cha Somalia. Diamond, hasife moyo hata kidogo, wapenda maendeleo wako nyuma yako.
Hiyo ndio ndoto yako,usijibaraguze humu.