Uchawi umedunda kwa Ally Kiba


Hawana jeuri hiyo labda mpaka Mkwele aondoke madarakani.

Kuna kipindi clouds sijui kinaitwa XXL tuliambiwa kimefungiwa na kinapiga kazi mpaka leo
 

Hilo tamko limetolewa na nani wakati leo jpili? Kuna ofc iko wazi? Hata kama amin hiyo kesi ni ndogo sana.
 
Tatizo watu wa Dar kula miguu ya kuku na utumbo kumewaathiri sana..Mi niko songea hapa juzi kulikuwa na uvumi wa ujio wa Diamond mji mzima ulijaa hekaheka, Huyo Ali kiba wenu hakuna anaemjua ...

Songea ndio kijiji gani?
 

mada kama hizi ni za watoto wa form2 na vijana wanao ishi walipo olewa dada zao.
 
Kiba oyeeeee Nn watasema Leo dinner plz unaweza sogea kwa Pande hizi am feel happy Jana yaani kama ilivyo jumbe yake pale ni sheeedahh
 
Watafanya kila wanaloweza lakini diamond ni level nyingine
 
Dharau mbaya sana kimafanikio ya kimziki na kipesa domo bado sana,hana hata uwezo wa kuwa na private jet halafu useme ana mafanikio? Nenda miami uone mahekalu ya wasanii wenye mafanikio wakiwa wamepaki yatch zao pembeni mwa ufukwe wa nyumba zao,sie masikini tukipata vigari na mabanda ya kulala tunajiona tuna hela,kama diamond ana hela akanunue nyumba oysterbay.
 
Dar kumejaa mafukara na masikini wa kutupwa wanaoshindia mihogo ya kukaanga na miguu ya kuku.. Hao ndio hawampendi Diamond kwa sababu ana pesa

Yaani wewe ndio uko kizani hivi wakiitwa watu watu wenye pesa huyo domo wako atasogea nadhani kwa familia yenu ndio mnamuona bakheresa wenu lol mwenye pesa yuko sinza nyumba ya kukodi pyuuu
 
labda diamond ajiulize kwa nini masanja mkandamizaji hachukiwi? nani asiyejua jinsi jamaa alivyo na hela? hata lady jaydee pia na kama ni suala la maisha mazuri basi hata jux na mtu kama cyril wangechukiwa pia...chunga kauli zako mr nassibu
 
hv ww mleta uzi lengo lako nn haswa umejiskilza ulichokuwa unasemavna roho yako ikasema andika ama kweli hii nchi ni noma ila ukitulia ukatafqkar utaelewa tu
 
labda diamond ajiulize kwa nini masanja mkandamizaji hachukiwi? nani asiyejua jinsi jamaa alivyo na hela? hata lady jaydee pia na kama ni suala la maisha mazuri basi hata jux na mtu kama cyril wangechukiwa pia...chunga kauli zako mr nassibu

Una mapoint wewe mtoto wa Tandale kwa Mtogole au leo umeamka vizuri.
 
labda diamond ajiulize kwa nini masanja mkandamizaji hachukiwi? nani asiyejua jinsi jamaa alivyo na hela? hata lady jaydee pia na kama ni suala la maisha mazuri basi hata jux na mtu kama cyril wangechukiwa pia...chunga kauli
zako mr nassibu

sir maatope umeongea points kweli kweli
ila kuna watu watajifanya hawakuelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…