Uchawi umedunda kwa Ally Kiba

Uchawi umedunda kwa Ally Kiba

Breakng news. Baraza la sanaa BASATA limesimamisha tamasha la fiesta linaloratibiwa n clouds media kwa mda wa miaka 5 baada ya kukaidi amri ya mahakama ya kutomtumia msanii wa nigeria Davido ktk tamasha hilo baada ya kupokea pingamizi kutoka times fm mbali na amri hiyo pia msanii huyo aliperform bila kuwa n kibali kutoka BASATA.

Hawana jeuri hiyo labda mpaka Mkwele aondoke madarakani.

Kuna kipindi clouds sijui kinaitwa XXL tuliambiwa kimefungiwa na kinapiga kazi mpaka leo
 
Breakng news. Baraza la sanaa BASATA limesimamisha tamasha la fiesta linaloratibiwa n clouds media kwa mda wa miaka 5 baada ya kukaidi amri ya mahakama ya kutomtumia msanii wa nigeria Davido ktk tamasha hilo baada ya kupokea pingamizi kutoka times fm mbali na amri hiyo pia msanii huyo aliperform bila kuwa n kibali kutoka BASATA.

Hilo tamko limetolewa na nani wakati leo jpili? Kuna ofc iko wazi? Hata kama amin hiyo kesi ni ndogo sana.
 
Kilele cha fiesta siku ya jana tarehe 18 octoba 2014 Tanzania na dunia nzima kwa ujumla imeshuhudia msanii Ally Kiba akioyesha kuwa uchawi hauna nafasi kabisa kwenye muziki baada ya kumkalisha Diamond ambaye siku chache zilizopita alijinadi kupitia Clouds fm kuwa yupo tayari kumsaidia Ally Kiba kufanya nae collabo na sasa kibao kimemgeukia yeye ndiye atakayesaidiwa kufanya collabo.

MASHABIKI: Mashabiki walikuwa hawataki kusikia lolote zaidi ya Ally Kiba. Mashabiki wengine walienda mbali zaidi na kusema bora wasimuone T.I wao wanamtaka Ally Kiba tu.

DIAMOND AZOMEWA KAMA MBWA: kila akiimba mashabiki kila kona ya uwanja walikuwa wakimzomea Diamond huku wakitaka Ally Kiba arudi stejini. Mashabiki wasikika wakisema ''kiba kiba kiba kiba kiba'' huku wakimzomea Diamod ''buuuh buuuh buuuh''

Diamond apata wakati mgumu, Davido na Ney wa Mitego watumika kumbeba Diamond lakini mashabiki hawakuacha kumzomea.

DIAMOND ATAFUTA MCHAWI WAKE: Diamond huku akitapa tapa anahisi amechezewa mchezo na Clouds fm au Ally Kiba eti kwa kile anachokiita mafanikio yake, mashabiki wamjibu ''nani akuchukie wewe? kwa mafanikio yapi? kubadilisha wanawake au kutokumaliza nyumba? kama tunachukia mtu mwenye mafanikio wa kwanza angekuwa Mengi na Bakhresa sio mtu ka wewe''
Alizomewa Kikwete mwaka 2012 pamoja na Yoweri Museven chuo kikuu cha dar es salaam, who is Diamond bwana?

Msanii huyo aliyekulia Tandale na kufanya biashara ya kuuza mitumba na voucher, siku kadhaa zilizopita alinukuliwa na vyombo vya habari kuwa Jiji la Mbeya halina hotel inayoendana na hadhi yake, baadhi ya mashabiki kutoka Mbeya pia waahidi kumzomea siku akienda Mbeya.

Ukweli ni kwamba Diamond kwasasa hapendwi nchini Tanzania, si kwamba ni msanii mbaya ila sababu kubwa ni dharau zake na kiburi. Hivyo aashauriwa aache kusingizia watu. ''Waliomzomea ni watu waliotoka kwao na wakalipa pesa zao''

Nimeamini kuwa ''MBELE YA ALLY KIBA UCHAWI HAUNA NAFASI''


Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

mada kama hizi ni za watoto wa form2 na vijana wanao ishi walipo olewa dada zao.
 
Kiba oyeeeee Nn watasema Leo dinner plz unaweza sogea kwa Pande hizi am feel happy Jana yaani kama ilivyo jumbe yake pale ni sheeedahh
 
Watafanya kila wanaloweza lakini diamond ni level nyingine
 
Dharau mbaya sana kimafanikio ya kimziki na kipesa domo bado sana,hana hata uwezo wa kuwa na private jet halafu useme ana mafanikio? Nenda miami uone mahekalu ya wasanii wenye mafanikio wakiwa wamepaki yatch zao pembeni mwa ufukwe wa nyumba zao,sie masikini tukipata vigari na mabanda ya kulala tunajiona tuna hela,kama diamond ana hela akanunue nyumba oysterbay.
 
Dar kumejaa mafukara na masikini wa kutupwa wanaoshindia mihogo ya kukaanga na miguu ya kuku.. Hao ndio hawampendi Diamond kwa sababu ana pesa

Yaani wewe ndio uko kizani hivi wakiitwa watu watu wenye pesa huyo domo wako atasogea nadhani kwa familia yenu ndio mnamuona bakheresa wenu lol mwenye pesa yuko sinza nyumba ya kukodi pyuuu
 
labda diamond ajiulize kwa nini masanja mkandamizaji hachukiwi? nani asiyejua jinsi jamaa alivyo na hela? hata lady jaydee pia na kama ni suala la maisha mazuri basi hata jux na mtu kama cyril wangechukiwa pia...chunga kauli zako mr nassibu
 
hv ww mleta uzi lengo lako nn haswa umejiskilza ulichokuwa unasemavna roho yako ikasema andika ama kweli hii nchi ni noma ila ukitulia ukatafqkar utaelewa tu
 
labda diamond ajiulize kwa nini masanja mkandamizaji hachukiwi? nani asiyejua jinsi jamaa alivyo na hela? hata lady jaydee pia na kama ni suala la maisha mazuri basi hata jux na mtu kama cyril wangechukiwa pia...chunga kauli zako mr nassibu

Una mapoint wewe mtoto wa Tandale kwa Mtogole au leo umeamka vizuri.
 
labda diamond ajiulize kwa nini masanja mkandamizaji hachukiwi? nani asiyejua jinsi jamaa alivyo na hela? hata lady jaydee pia na kama ni suala la maisha mazuri basi hata jux na mtu kama cyril wangechukiwa pia...chunga kauli
zako mr nassibu

sir maatope umeongea points kweli kweli
ila kuna watu watajifanya hawakuelewi
 
Back
Top Bottom