Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Yaan najaribu kufikiri ni topic gani itakuja baada ya hizi.
Aiseeee,hadi umebadili avatar???unadhani tutakusahau??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan najaribu kufikiri ni topic gani itakuja baada ya hizi.
Hahahaa
Unafikiri la miss tz limepita tu
Tushatuma mails tangu juzi mkuu
Aiseeee,hadi umebadili avatar???unadhani tutakusahau??
Ally Kiba anamjua nani dunia hii?
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Hahahaa
Unafikiri la miss tz limepita tu
Tushatuma mails tangu juzi mkuu
Kuna fitna zilipangwa na Clouds pale kumporomosha Diamond...Watu walipangwa makusudi kwa ajili ya kuzomea...Hatuwezi kufika mbali kwa mtindo huo...Diamond aangalie uhusiano wake wa kikazi na Clouds FM...Clouds Fm ni wachawi na wanyonyaji....
Ndio leo mmegundua hili.
Ally k nina zawadi yako.......njoo unywe supu isiyochemshwa uzidi kunoa sauti hyo.
Ijumaa basi tukutane Akemi tupate kinywaji
watu wamepagawa hatariii wao walitaka azomewe nani labda
watu wenyeewe hata kwenda hamna si wangeenda kumshangilia bosi wao
unalazimisha nishangilie nani ulinipa wewe helas
we ndezi ninii..!!!!!
Haahaaaaaaa
penda kinywaji sana!
Sasa ndugu songea ni mji au bado ni halmashauri?hahahahaTatizo watu wa Dar kula miguu ya kuku na utumbo kumewaathiri sana..Mi niko songea hapa juzi kulikuwa na uvumi wa ujio wa Diamond mji mzima ulijaa hekaheka, Huyo Ali kiba wenu hakuna anaemjua ...
Nashangaa mijitu ina hasira kama nini....waendee huko wasitusumbue bwana kwa raha zetu tunasherehekea kuwagaragaza
Loh,walitukalia kooni jamani wewe acha tu,Kiba kapondwa kama nini...