Uchawi umedunda kwa Ally Kiba

Aiseeee,hadi umebadili avatar???unadhani tutakusahau??

nifaaaaah
yaanj wewe ningekua nipo dar ningekwambia njoo karume uchague top dress na mkoba au ilala uchukue mapazi
KIBA WERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.....!!!&
 
nifaaaaah
yaanj wewe ningekua nipo dar ningekwambia njoo karume uchague top dress na mkoba au ilala uchukue mapazi
KIBA WERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.....!!!&

Hahahahaaaaaa,jamani!!!!
Ahsante mpenzi,natamani siku 1 tukutane tupate kinywaji na miss Strong itakua poa sana
 
Last edited by a moderator:
Kuna fitna zilipangwa na Clouds pale kumporomosha Diamond...Watu walipangwa makusudi kwa ajili ya kuzomea...Hatuwezi kufika mbali kwa mtindo huo...Diamond aangalie uhusiano wake wa kikazi na Clouds FM...Clouds Fm ni wachawi na wanyonyaji....
 
Ndio leo mmegundua hili.
 
Ndio leo mmegundua hili.

Diamond amechelewa tu kulitambua hilo...Clouds hua wanataka wakunyonye to the fullest..hawataki ujitegemeee na uwe na uwezo wa kusimama kama wewe...ndio maana kila siku wanajitahidi kuwabana wasanii ili wanyenyekewe....

Diamond alionyesha uwezo wa kusimama yeye kama yeye...Na hilo ni kosa kwa Clouds Fm...

JD ameyagundua hayo siku nyingi ndio maana She doesnt give a fk about the mozafks clouds fm.....

Siku ya Fiesta hata wakati Diamond anaingia ku perform MC hakusema hata vile kuwaandaa mashabiki kua Diamond anaingia....

MC hao hao kina Fetty wakashangilia sana wakati wa kumkaribisha Kiba......

Wale wazomeaji waliandaliwa...Take my word.......

Diamond pamoja na mapungufu yake...Dogo is a hustler...

Ni mfano wa kuwa ukifanya kazi kwa bidiii utafanikiwa...

Huyo kiba ni mvivu...si mbunifu...Alipata nafasi akashindwa kuitumia
 
Hamna kitu kama hiko ..clouds (ruge)ni mama wa diamond, babu tale kasimama kama kivuli cha ruge ....awezi kumfanyia sarakasi hizo..
Mashabiki walitaka kumuonyesha
Diamond kwamba wao (fans) ndo wenye uwezo wa kumpandisha au kumshusha period!
 
Freeland usitake kuniambia hujuma za clouds against diamond zimekuja ghafla pasipo reason behind???
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaaaaa,jamani!!!!
Ahsante mpenzi,natamani siku 1 tukutane tupate kinywaji na miss strong itakua poa sana

watu wamepagawa hatariii wao walitaka azomewe nani labda
watu wenyeewe hata kwenda hamna si wangeenda kumshangilia bosi wao
unalazimisha nishangilie nani ulinipa wewe helas
we ndezi ninii..!!!!!
 
Last edited by a moderator:
watu wamepagawa hatariii wao walitaka azomewe nani labda
watu wenyeewe hata kwenda hamna si wangeenda kumshangilia bosi wao
unalazimisha nishangilie nani ulinipa wewe helas
we ndezi ninii..!!!!!

Nashangaa mijitu ina hasira kama nini....waendee huko wasitusumbue bwana kwa raha zetu tunasherehekea kuwagaragaza

Loh,walitukalia kooni jamani wewe acha tu,Kiba kapondwa kama nini...
 
Tatizo watu wa Dar kula miguu ya kuku na utumbo kumewaathiri sana..Mi niko songea hapa juzi kulikuwa na uvumi wa ujio wa Diamond mji mzima ulijaa hekaheka, Huyo Ali kiba wenu hakuna anaemjua ...
Sasa ndugu songea ni mji au bado ni halmashauri?hahahaha
 
Nashangaa mijitu ina hasira kama nini....waendee huko wasitusumbue bwana kwa raha zetu tunasherehekea kuwagaragaza

Loh,walitukalia kooni jamani wewe acha tu,Kiba kapondwa kama nini...

Mie nilikonda kabisa mana nick name yangu ilikua ni Cinderella... Alivokuja muuza vocha... Jina langu lilikufa.... Yani siku akija mbeya... Atalala stendi tena chini........ Mwehu mkubwa yule a.k.a wakala wa voda wa zamani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…