Vijana wengi wanatamani kufanikiwa katika Biashara hata kwenye vitu vingine ila wanatafuta njia za chap watoboe, ila nikuambie uhalisia maisha ni marathon usiwe na papara ya mafanikio ya harakaa utapigwa nyundo mpka uchanganyikiwe nataka nikupe siri chache za mafanikio.
KWANZA kabisa penda kujifunzaa kila siku kwa kusikiliza, kufanya, kusoma, kuona, ukianza kufanya hivi usiweke matarajio yoyote utaanza kuona mwanga na utakua excited na utaanza kusema mwenyewe mimi nilikua lazy utaanza kuongeza juhudi kujifunza zaidi.
Pili jifunze kujitawalaa hapa ni sehemu muhimu Mungu ametupa akili kubwa binadam ya ufahamu kuliko viumbe vingine hii ni silaha kubwa maana yangu kujitawalaa ninachomaanisha uweze kutawala hisia zako za tamaa, chuki, uwoga, hasira, etc binadamu bora anajitahid kila siku kujitawalaa lazima mizani ibalance nataka nikupe mfn usiku na mchana kume balance so ukiweza fanya ivo utakua mtu tofauti sana vijana wengi hawawezi kujitawala MUNGU alivyokua na maarifa makubwa ana balance vzr vitu vyake alivyoviumbaa