Uchawi umefanya nifanikiwe kwenye biashara

Uchawi umefanya nifanikiwe kwenye biashara

mabakila1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2020
Posts
270
Reaction score
359
Vijana wengi wanatamani kufanikiwa katika Biashara hata kwenye vitu vingine ila wanatafuta njia za chap watoboe, ila nikuambie uhalisia maisha ni marathon usiwe na papara ya mafanikio ya harakaa utapigwa nyundo mpka uchanganyikiwe nataka nikupe siri chache za mafanikio.

KWANZA kabisa penda kujifunzaa kila siku kwa kusikiliza, kufanya, kusoma, kuona, ukianza kufanya hivi usiweke matarajio yoyote utaanza kuona mwanga na utakua excited na utaanza kusema mwenyewe mimi nilikua lazy utaanza kuongeza juhudi kujifunza zaidi.

Pili jifunze kujitawalaa hapa ni sehemu muhimu Mungu ametupa akili kubwa binadam ya ufahamu kuliko viumbe vingine hii ni silaha kubwa maana yangu kujitawalaa ninachomaanisha uweze kutawala hisia zako za tamaa, chuki, uwoga, hasira, etc binadamu bora anajitahid kila siku kujitawalaa lazima mizani ibalance nataka nikupe mfn usiku na mchana kume balance so ukiweza fanya ivo utakua mtu tofauti sana vijana wengi hawawezi kujitawala MUNGU alivyokua na maarifa makubwa ana balance vzr vitu vyake alivyoviumbaa
 
1 Timotheo 6:10
Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi.
 
TATU jifunze kukusanya taarifa hili ni jambo muhimu ktk maisha yetu uwezi kutatua changamoto yoyote bila TAARIFA ngoja nikupe mfano taarifa unazipata vipi unaweza kuanza kuhifadhi taarifa zako wakati unapotaka kulala na unapoamka utagunduaa kitu kama unaenda kazin unasinziaa kwa kukusanya taarifa utapata njia ya kutatua changamoto so hata kwenye biashara anza kukusanya taarifa za faida, hasara, mkopo utajifunza kitu

NNE Usiogope KUPOTEZA hili ni jambo muhimu sana wakat unaanza kufanya biashara kuwa tayari kupoteza ujifunze kucheza game kama ingekua kila mtu anapoanza kujifunza baiskel siku ya kwanza anajua bila mawenge mambo yangekua safi kbsa ila lazima atazingua tu baada ya wiki ataanza kubadilika so ninachomaanisha utakiwi kuogopa kukosea/kupeteza mara ya kwanza

TANO UZOEFU ni moja ya silaha muhimu ktk maisha yetu vijana weng wanataka kufanya kitu kwa weledi ndani miez 6 ila ni ivi ukipata uzoefu utagunduaa siri nzito kwenye biashara vijana weng wanataka mitaji mikubwa wanadhani ndo watatoboa kirahisi
 
Vijana wengi wanatamani kufanikiwa ktk Biashara hata kwenye vitu vingine ila wanatafuta njia za chap watoboe
ila nikuambie uhalisia maisha ni marathon usiwe na papara ya mafanikio...
YEREMIA 17:5 inasema; Bwana asema hivi, amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake na moyoni mwake amemwacha Bwana.

Wengi wanalaaniwa na Mungu kwa kutegemea waganga, wachawi, ndugu, referees wa maisha, n.k, hawamtegemei Mungu. kutegemea kitu kingine zaidi ya Mungu ni tusi kwa Mungu, ni kama umeona Mungu hawezi kukusaidia, kama Mungu hana nguvu kukusaidia, ila huyo unayemtegemea ndiye atakusaidia, bila kujua kuwa hata huyo ni Mungu tu amemshikilia, akiamua kufuta pumzi yake anafutika dakika.

ZABURI 37:3 INASEMA,
3Umtumaini BWANA ukatende mema,
Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.
4 Nawe utajifurahisha kwa BWANA,
Naye atakupa haja za moyo wako.
5 Umkabidhi BWANA njia yako,
Pia umtumaini, naye atafanya.
6 Ataitokeza haki yako kama nuru,
Na hukumu yako kama adhuhuri.
7Ukae kimya mbele za BWANA,
Nawe umngojee kwa saburi;
Usimkasirikie yeye afanikiwaye katika njia yake,
Wala mtu afanyaye hila.
 
Vijana wengi wanatamani kufanikiwa ktk Biashara hata kwenye vitu vingine ila wanatafuta njia za chap watoboe
ila nikuambie uhalisia maisha ni marathon usiwe na papara ya mafanikio ya harakaa utapigwa nyundo mpka uchanganyikiwe nataka nikupe siri chache za mafanikio
...
Usiseme vijana mkuu mafanikio ni yoyote yule anayataka kwani umaskini sijui ufukara ni mzuri nao wale ombamba watu wazima unawaweka kundi lipi?

Mwisho ukiweza kufanikiwa kwa njia yoyote ni jambo zuri ila matokeo ya hayo Mafanikio ni yako ukilala chooni, juu ya dari au makaburini hilo lako mzee
 
Vijana wengi wanatamani kufanikiwa katika Biashara hata kwenye vitu vingine ila wanatafuta njia za chap watoboe, ila nikuambie uhalisia maisha ni marathon usiwe na papara ya mafanikio ya harakaa utapigwa nyundo mpka uchanganyikiwe nataka nikupe siri chache za mafanikio.

KWANZA kabisa penda kujifunzaa kila siku kwa kusikiliza, kufanya, kusoma, kuona, ukianza kufanya hivi usiweke matarajio yoyote utaanza kuona mwanga na utakua excited na utaanza kusema mwenyewe mimi nilikua lazy utaanza kuongeza juhudi kujifunza zaidi.

Pili jifunze kujitawalaa hapa ni sehemu muhimu Mungu ametupa akili kubwa binadam ya ufahamu kuliko viumbe vingine hii ni silaha kubwa maana yangu kujitawalaa ninachomaanisha uweze kutawala hisia zako za tamaa, chuki, uwoga, hasira, etc binadamu bora anajitahid kila siku kujitawalaa lazima mizani ibalance nataka nikupe mfn usiku na mchana kume balance so ukiweza fanya ivo utakua mtu tofauti sana vijana wengi hawawezi kujitawala MUNGU alivyokua na maarifa makubwa ana balance vzr vitu vyake alivyoviumbaa
Utakuwa unafuga mazombie hapo kwako. Shetani Hatoi bure!
 
Back
Top Bottom