Uchawi unaichelewesha Simba.

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,676
Reaction score
4,693
Habari wanasports.

Katika mambo ambayo yanaikwamisha simba kupiga hatua hasa ndani ya uwanja ni UCHAWI.

Wachezaji wanarogana sana hivyo timu inakua ngumu kufikia malengo yake kwa wakati.
Kramo, Fraga, Kwassi, Mugalu, Ngoma(alienda kwao kurekebisha mambo, sasa mambo yanakaa poa na anataka kuongezewa mkataba)

Kuna kipindi Bocco na Kagere zilikua haziivi, Kapombe vs Mwenda.

Simba watafute namna ya kuyaweka sawa haya mambo.
 
Vp kuhusu sawadogo nae alirogwa?
Sio kila mchezaji anarogwa, wengine ni kufeli kulingana na mazingira, aina ya uchezaji wa timu (majukumu anayopewa), uwezo wa mchezaji kua mdogo kulingana na mahitaji ya timu (hapa makanjanja wanapiga hela za usajili) mfano JOBE, Omary Omary, Kijili, Mutale.
 
Wapi Aziz Ki na Boka?
 
Waendelee wote kwa Deonise Mutalemwa wakaoshwe miguu uchawi uwatoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…