Mbabani
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,676
- 4,693
Habari wanasports.
Katika mambo ambayo yanaikwamisha simba kupiga hatua hasa ndani ya uwanja ni UCHAWI.
Wachezaji wanarogana sana hivyo timu inakua ngumu kufikia malengo yake kwa wakati.
Kramo, Fraga, Kwassi, Mugalu, Ngoma(alienda kwao kurekebisha mambo, sasa mambo yanakaa poa na anataka kuongezewa mkataba)
Kuna kipindi Bocco na Kagere zilikua haziivi, Kapombe vs Mwenda.
Simba watafute namna ya kuyaweka sawa haya mambo.