Uchawi upo: Dejan awa mfungaji Bora huko serbia

Uchawi upo: Dejan awa mfungaji Bora huko serbia

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Mchezaji Wa zamani Wa Simba sc Dejan anaongoza katika kinyanganyiro Cha mfungaji Bora uko Serbia [emoji1212].

Na Hizi hapa ni Takwimu zake

[emoji843]MECHI 38

[emoji843]MABAO 30

[emoji843]ASSIST 12

Amehusika kwenye Jumla ya Magoli 42 mpka sasa katika michezo 30.

Mlete mzungu [emoji23][emoji23] inawezekana pale ukoloni alipigwa msumari
1717987672634.jpg
 
Mzungu alikuwa bora na tuliona ubora wake, kale ka okwa kalikuwa bora ni namba 8 mzuri saana wakaleta uhuni...

Mzungu walimtema kisa mlevi okrah. Yule mzungu alikuwa kazidiwa na moses phiri tu..
Una maanisha Simba wako unga kwenye talent acquisition, management & retaintion
 
he was a talent. simba kuna shida. very good players wa nashindwa kushine. yanga huku average wana shine.

simba ya mo ina very good recruitment team. sema uongozi na mfumo unawafelisha.
Hatari sana mkuu
 
Watanzania wengi ni wanafiki sanaaa...tena baadhi ya wanaume wanaongoza..nyie ndo mlikua wa kwanza kumcheka mara ohhoo sijui nini mara ohoo mikimbio...leo ndo mnamuona mzuri?? Mabata mzinga nyie...
 
Simba hatutaki wachezaji wazuri, tunatafuta wabovu ili wasidumu alafu tununue mwingine mambo yetu yaende
 
Kweli ni kazi sana. Tupige kura kuokoa kizazi hiki

 
Watanzania wengi ni wanafiki sanaaa...tena baadhi ya wanaume wanaongoza..nyie ndo mlikua wa kwanza kumcheka mara ohhoo sijui nini mara ohoo mikimbio...leo ndo mnamuona mzuri?? Mabata mzinga nyie...
Tuliona jamaa ni mzuri....angetusumbua sana .. that's y tuli pressurelize atoke

Kweli makolo wakaingia kwenye mfuno[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom