Uchawi upo: Dejan awa mfungaji Bora huko serbia

Uchawi upo: Dejan awa mfungaji Bora huko serbia

Mchezaji Wa zamani Wa Simba sc Dejan anaongoza katika kinyanganyiro Cha mfungaji Bora uko Serbia [emoji1212].

Na Hizi hapa ni Takwimu zake

[emoji843]MECHI 38

[emoji843]MABAO 30

[emoji843]ASSIST 12

Amehusika kwenye Jumla ya Magoli 42 mpka sasa katika michezo 30.

Mlete mzungu [emoji23][emoji23] inawezekana pale ukoloni alipigwa msumari View attachment 3014246
Ligi daraja la ngapi? Tuanzie hapo
 
FD808021-5D12-4BAD-9FA2-A69F63EE4905.jpeg
 
Tuliona jamaa ni mzuri....angetusumbua sana .. that's y tuli pressurelize atoke

Kweli makolo wakaingia kwenye mfuno[emoji23][emoji23]
Wapuuzi ndo watakuamini ww Topolo wa head...ww nae mnafiki tuu kama wengine..
 
Back
Top Bottom