Uchawi wa 4WD ni nini hasa?

Winch means utafute gar nyingine ikuvute?
 
2WD ni Engine inazungusha tairi za mbele tu au nyuma tu. Zikikwama hizo huna ujanja sababu mbili zilizobaki zinapelekwa pelekwa tu.

4WD ni kua zote nne zimeungwa kwa engine, ila zipo zenye unaweka hiyo 4wd ukitaka na ziko zenye ni full time. Hapo kwenye tope sijui mchanga ni unateleza tu.

Chukulia nyumba Baba na Mama wote wanafanya kazi, siku Baba akikwama kifedha basi Mama anasawazisha.
 
Kwamba 2WD Ni engine sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…