Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Wamiliki wa Passo piteni hv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Winch means utafute gar nyingine ikuvute?Mleta mada ameuliza swali "uchawi uliopo kwenye gari yenye 4WD" jibu ni kwamba Four Wheel Drive translate kwa kiswahili ndo uchawi wenyewe.
Kwa kawaida tairi za nyuma ndio zanazoendesha gari za mbele zinaongoza ukifika sehemu korofi km uterezi unaweka gia maalumu tairi zote 4 zinakua zinaendesha yani 4WD.
Vilevile kuna gari mfano Land Rover 110 tdi ni Full Time 4WD ikinasa haina mbadala ila kwenye mwinuko mkali ikishindwa kupanda unaweka Low gear.
Hata hivyo 4WD sio kwamba haikwami sehemu korofi huwa inanasa pindi diff inapogusa ardhi ndomana baadhi ya gari zina Winch mbele.
PoleeYanabwia mafuta sanaaaa
Xtrail hapoo unang'oaKwa 13m naweza pata 4wd used japan?
Unataka 4wd ya kuweka mwenyew ama zile AWD? AWD unajing'olea kila aina kuanzia Ist NCP 65, ila utalia kilio kikuu[emoji23][emoji23] kwa consumption yakeKwa 13m naweza pata 4wd used japan?
2WD ni Engine inazungusha tairi za mbele tu au nyuma tu. Zikikwama hizo huna ujanja sababu mbili zilizobaki zinapelekwa pelekwa tu.Wakuu nikiri nilikuaga na Passo Julai 2021 niliagiza ndinga yenye 4WD Sasa nikapata safari Dar - Liwale huko nikakutana na barabara hazieleweki kila nikienda gari inatitia aisee nikaweka 4H mwendo mdundo. Nauliza uchawi wa 4WD ni nn? UNYAMA mwingi
View attachment 2077288
Kwamba 2WD Ni engine sio?2WD ni Engine inazungusha tairi za mbele tu au nyuma tu. Zikikwama hizo huna ujanja sababu mbili zilizobaki zinapelekwa pelekwa tu.
4WD ni kua zote nne zimeungwa kwa engine, ila zipo zenye unaweka hiyo 4wd ukitaka na ziko zenye ni full time. Hapo kwenye tope sijui mchanga ni unateleza tu.
Chukulia nyumba Baba na Mama wote wanafanya kazi, siku Baba akikwama kifedha basi Mama anasawazisha.
Ha ha ha. IST au Vitz Ina hizo mbanga?Difflock tairi moja ikiinuka juu shughuli imeisha
Ni mfumo where by Engine.....Kwamba 2WD Ni engine sio?