Uchawi wa 4WD ni nini hasa?

Uchawi wa 4WD ni nini hasa?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Wakuu nikiri nilikuaga na Passo Julai 2021 niliagiza ndinga yenye 4WD Sasa nikapata safari Dar - Liwale huko nikakutana na barabara hazieleweki kila nikienda gari inatitia aisee nikaweka 4H mwendo mdundo. Nauliza uchawi wa 4WD ni nn? UNYAMA mwingi

BK536988_a6a2d9.jpg
 
Wakuu nikiri nilikuaga na Passo gari ya kiquma Sana Ile basi Julai 2021 niliagiza ndinga yenye 4WD Sasa nikapata safari Dar - Liwale huko. nikakutana na barabara hazielewek kila nikienda gari inatitia aisee nikaweka 4H mwendo mdundo. Nauliza uchawi 4WD Ni nn?

View attachment 2077288
Gari chuma hii. Matunzo tu utakaa nayo Sana mpaka uichoke
 
Back
Top Bottom